Kwa Uelewa wangu mimi...

Kwa Uelewa wangu mimi...

kanyela mumo

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
2,033
Reaction score
2,124
Natakiwa kutii sheria za Nchi yangu, kuheshimu viongozi wangu na kuwa naupendo wenye usawa kwa watu wote.

Kujituma kinguvu na kifikra ili kuikomboa familia yangu na jamii inayo nizinguka na kuwa moja ya watu wenye kutatua changamoto na sio kuongeza matatizo.


Kusamehe, kuvumilia, utulivu, usikivu na kujituma ili kutatua matatizo yangu pasipo kuwa kero kwa mtu yoyote yule hata kama ana uwezo juu yangu awe ni mtu wa karibu mimi sina habari na chake.

Kupenda familia yangu kwa dhati hasa mke wangu, watoto, ndugu pamoja na jamii nzima.

Kiufupi nimejizungumzia Upendo na Utii katika nyanja zote.


Mungu ni mwema, matatizo yako yasinyime sura yako tabasamu Mungu alio kupa.

Usiku mwema wakuu wote hasa wale wanao fanya tuwe na Amani.
 
Kila kitu ni daraja la mimi kusonga mbele, hivyo siwezi kufikiria kwa ubaya chochote nacho kutana nacho katika Maisha yangu zaidi ya kusema Asante Mungu na kujiongeza kifikra na kujituma zaidi uku nikiamini ipo siku jamii yangu itajivunia uwepo wangu.
 
Back
Top Bottom