Kidasa
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 309
- 109
Wadau Kuna nyumba nzuri sana inapangishwa Arusha.Nyumba ipo mwanzoni mwa Sekei na Nambere.Ni self contained, Ina master kubwa,vyumba viwili vingine vyenye makabati,jiko lililo furnished(Lina makabati ya juu na chini),Sebule kubwa, ina Parking kubwa,ipo fenced,kuna public toilet .Nje kuna garden nzuri,jiko la nje na public toilet.Maji ni 24 hours kwani kuna reserve tank ya lita 5000.Kutoka kwenye nyumba hadi Mount Meru Hotel(Barabarani) ni Kilometa 1.Kuna English medium nzuri ipo jirani na nyumba inaitwa WILKABAA ENGLISH MEDIUM SCHOOL ,hapa mtoto anatembea kwa miguu kwenda shule.
Kodi ni 350,000/= kwa mwezi .Contact 0762 30 54 32 .KARIBUNI SANA
Kodi ni 350,000/= kwa mwezi .Contact 0762 30 54 32 .KARIBUNI SANA