Tumuamini nani kati ya hawa wawili?

Snowpiercer

JF-Expert Member
Sep 15, 2014
2,325
4,089
Huku Zitto akidai mapato ya Serikali Kwa miezi ya Julai na Agosti yameshuka mpaka chini ya Shilingi 600 bilioni, TRA nayo inasema imekusanya jumla ya Sh3.65 trilioni kwa kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2017/18 kuanzia mwezi Julai hadi Septemba meaning that it's approximately Sh1.22 trillion on average.

Sasa tuamini mapato yaliyokusanywa na Zitto au TRA, au ndo tumsubiri kwanza Zitto atasema nini tena juu ya hili.
 
Kumuamini huyu Zitto wa ACT yakupasa uwe na moyo kama wa Mwendawazimu hivi. Zitto ninayemjua Mimi ni yule aliyekuwa CHADEMA miaka kadhaa iliyopita lakini huyu ninayemshuhudia sasa ni wa ' hovyo hovyo ' tupu.
 
we achana na mapato ya nchi ni usanii tu, shughulika na mapato yako binafsi
 
Back
Top Bottom