wankoba ryoba
New Member
- Jun 28, 2012
- 3
- 0
Maswali mengi ya mezuka baada ya ripoti ya TRA juu yamakusanyo ya tirion 3.65 moja ya maswali hayo wame zikusanya wapi wakati chanzo kikuu cha mapato ni bia na watu awanywi bia siku izi na wengine wametoa wameenda mbali zaidi kwa kusema meri zimepungua na migodini uzarishaji umepungua wame baki na chanzo kikuu na chauhakika PAYE maoni hayo ya wadau yana pelekea nami kufikiri tunadanganywa sasa nini kifanyike ili tusidanganywe tena.
1-Tutumie huduma zinazo tolewa na serikari (mawasiliano na usafiri), sekta hizi mbili ndo sekta zinazo changia kwa kiasi kikubwa uchumi wa inchi yeyote duniani kwa hapa kwetu azichangii kwa kiasi kikubwa ila zimekua ziki wafaidisha wawekezaji hiyo yote nikutokana na makosaturiyo yafanya nyuma tu kiwakirishwa na wanasiasa lakini sasa tuna nafasi ya kufanya mapinduzi.
Kampuni ya mawasiliano ya taifa TTCL kwasasa ime anzakutoa huduma kwa tekenologia ya GSM maana yake sasa iko katika ushindani na makampuni mengine ambayo toka yameingia tanzania ya li kuwa yana utumia mfumo huo. sasa tujiulize kama watanzania tulioko zaidi ya milioni 45 tukitumia TTCL mnafikili TRA watatoa ripoti ambayo mtakuwa na mashaka nayo?
Je kiongozi wa nchi atasimama na kusema ataongeza mishahara kwa wafanyakazi? Je fedha ya kujikimu wanafunzi aita panda kutoka 8500 hadi 10000 kwasiku? Je kutakuwa na mwanafunzi atakaye kosa mkopo? TTCL ndio mtandao pekee unao toa huduma ya mawasiliano kwa kasi kubwa ya 4G na kwa bei nafuu hapa tanzania. (Know different network with their capacity.
TTCL-stm-64 (9958.28 mbps)
RED-stm-4 (622.08 mbps)
BLUE-stm-4 (622.08 mbps)
ORANGE-stm-8 (1244.16 mbps)
Now you understand who provide 4G service and who offer 3G only.) kwa kutumia tu mtandao wa TTCL serikali itakusanya zaidi ya tirion 3 kwa mwezi. (TTCL chukua lain yako ya TTCL na maisha yatakuwa rahisi 3Gb dk35 mitandao yote TTCL-TTCL unlimited mwezi mzima kwa 2500/=tsh
Temberea ttcl shop zote ukiwa ID yako kwaajiri ya Reg.No yako pia una weza kusajiri mpaka lain tano. So furahi na ndugu na rafiki zako ukiwa na mtandao wa nyumbani. TTCL rudi nyumbani huku kumenoga na 4G ya ukweli.) (Hongera! Furahia DK bila kikomo kupiga ndani ya mtandao, Dk 32 kupiga Mitandao mingine,SMS 330 na GB 3. Salio lako limepunguzwa TZS 2,500. Kifurushi kitaisha ndani ya siku 30.)
USAFIRI pia vile vile kama tukitu mia ndege na garimoshi katika safari zetu niwazi serikali itakuwa inapata mapato mengi sana na hatuta kuwa na wasiwasi na ripoti za TRA. tuna wasiwasi sana naizo ripoti kwasa nikwa sababu atutumii hudumaizo zinzzotolewa na serikali.