Wako wapi hawa watangazaji machachali wa RTD hebu tukumbushane hapa.

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,427
32,196
Rebistuta bukoli shinyanga,,,mswiiiiima Ernest sumbawanga,,,
martha ngwilla mbeya

ben kiko tabora huyu nilikuwa nampenda sana ktk habar za michezo hasa kipindi cha timu ya Mirambo ya tabora iko vizur na taarifa zake ktk kipindi cha majira saa tatu usiku alikuwa anaziwasilisha vizur sana
Halima mchuka, Elnesia maneno
Vipindi maridadi mama na mwana.
 
Mbona umewataja marehemu? Restituta, Nsimwa si walishatangulia mbele za haki hao!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom