Justine_Dannie
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 1,962
- 1,622
Habari ndugu zangu.
Kwa sisi ambao ujana umeanza kufika ukingoni (mwanzo wa mwisho), tumekua tukijizatiti na kujiimarisha sana muda huu ukizingatia ndio muda wetu wa kuamua unafikia mwishoni.
Sasa basi, katika kufanya ya hapo juu baadhi tumekua tukianzisha kila namna ya vitega uchumi ili mradi baadae wakati wa mvi tuwe tunaendelea kuwa fiti (financially)
Hivi karibuni nimekua nikiulizia ulizia nyumba hapo mzizima (dar), nimepata offer nyingi sana lakini cha kushangaza zilizo nyingi zinaangukia point moja kana kwamba hawa watu wanajuana.Yaani hapo mbagala Chamanzi kuna kitu gani mpaka watu wanauza nyumba kiasi hicho?
Mpaka naingiwa baridi, au Kuna taarifa bomoa bomoa yaenda huko?
Au ni bondeni?
Au huko Magu ndio anachukua nati za kukazia vyuma?
Kunani Mbagala Chamanzi!?
Dawson!