Nisaidieni mawazo; Nataka kufungua taasisi kusaidia watu wenye mazingira magumu

Oct 9, 2017
21
7
Habari zenu wakuu mbalimbali,

Mimi nina ndoto za kufungua kampuni ya kusaidia watu wenye mazingira magumu pamoja na Marginalized populations wote, nitashughulika na kusaidia malazi, chakula, nguo, afya, na kutoa elimu ya ujasiriamali.

Kiukweli inaitaji gharama kubwa sana lakini kama nitapata wafadhili basi itakuwa jambo zuri, nisaidieni utaratibu unaotumika kupata wafadhili wa nje ya nchi au apa apa kwetu, lengo ni kutimiza ndoto zangu za kuwatumikia watu wenye wakati mgumu na waliopoteza matumaini kwenye maisha
 
habari zenu wakuu mbalimbali, mimi nina ndoto za kufungua kampuni ya kusaidia watu wenye mazingira magumu pamoja na MARGINALIZED POPULATIONS wote, nitashughulika na kusaidia malazi,chakula,nguo,afya, na kutoa elimu ya ujasiriamali, kiukweli inaitaji gharama kubwa sana lakin kama nitapata wafadhili basi itakuwa jambo zuri, nisaidieni utaratibu unaotumika kupata wafadhili wa nje ya nchi au apa apa kwetu, lengo ni kutimiza ndoto zangu za kuwatumikia watu wenye wakati mgumu na waliopoteza matumaini kwenye maisha
Wewe mwenyewe kwanza una shilingi ngapi?
 
Habari zenu wakuu mbalimbali,

Mimi nina ndoto za kufungua kampuni ya kusaidia watu wenye mazingira magumu pamoja na Marginalized populations wote, nitashughulika na kusaidia malazi, chakula, nguo, afya, na kutoa elimu ya ujasiriamali.

Kiukweli inaitaji gharama kubwa sana lakini kama nitapata wafadhili basi itakuwa jambo zuri, nisaidieni utaratibu unaotumika kupata wafadhili wa nje ya nchi au apa apa kwetu, lengo ni kutimiza ndoto zangu za kuwatumikia watu wenye wakati mgumu na waliopoteza matumaini kwenye maisha
Fungua NGO ambayo lazima muwe kuanzia watano muwe na katiba na viongozi watatu mwenyekiti katibu na mweka hazina muonyeshe muhtasari wa kuchagua viongozi kisha ukasajili wizara ya afya maendeleo ya jamii wazee na watoto kwa 115000 kati ya hao wanachama hamtakiwi kuwa wa familia moja.
 
ASANTE SANA, BAADA YA APO NAPATAJE WADHAMINI
 
Wazo zuri sana, jihadhari na udanganyifu wa kutumia misaada utakayopewa maana utachumba dhambi! Kuwa mwaminifu
 
Back
Top Bottom