Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe, Kembo Mohadi, amekutana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini humo, Kamishna wa Polisi (CP) Suzan Kaganda, ikiwa ni juhudi za kuimarisha...
==========================
Badala ya mfumo wa sasa wa ‘TxxxAyy> TxxxByy > TxxxCyy > TxxxDyy , na sasa karibia tunaingia namba ‘E’ , ambapo mtu anakuwa anajua kabisa kwamba gari hii imesajili ya...
Habari Waziri wa Vijana Tanzania !.
Nakuomba niweke hapa wazo langu wazi wazi endapo ukinipatia hiyo Milioni hamsini (Tsh.50,000,000/=).
Nakusudia kuanzisha Kiwanda cha Uundaji wa nguo (Work on...
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam.
Jiji la Dar es Salaam linatarajia kuandika historia mpya katika tasnia ya burudani baada ya kutangazwa kwa uzinduzi wa tamasha la kwanza la kimataifa la...
Inashangaza sana mtu anaelezea msimamo wake kuwa Mimi wakuu siwezi kuoa mwanamke asiye na bikira wanawake used na wanaume walioa used wanakasirika hadi kuanza kutoa laana kwenye msimamo wa mtu...
Wakuu,
Nilikua natembea taratibu baada ya kushuka kwa gari nikaanza kutembea kwa mguu kuelekea sehemu fulani ila bahati mbaya isivyo bahati ghafla nikahisi km nimebanwa sana na mkojo.
Nikabidi...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe, amesema Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI imeandaa andiko la mradi unaoitwa SIFA yaani (School Infrastructure...
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano, Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel...
Ukiangalia kuna chaneli kama makundi matatu hivi juu ya uandishi wa neno LIVE kwa Kiswahili sanifu
Kuna wanaoandika MBASHARA mfano TBC. Hawa jamaa mwanzoni nilidhani wamekosea tu katika typing...
Umeanzisha biashara lakini inaendelea kupata hasara kila siku, halafu unaendelea kuingiza pesa zaidi bila kubadilisha kitu — hapo unakuwa unatupa “good money after bad.”
Cha kufanya badilisha...
Watu wengi nyumba zao zina shoti ila hawajui....
Hii husababishwa na miundo mbinu ya umeme kukaa mda mrefu bila kurekebishwa...
Unakuta nyumba ukichomeka pasi..TV km hauna ndala unatetemeshwa hii...
Mambo yamebadilika skuizi wasomi ni wengi na Kila mwaka wanafunzi zaidi ya 200,000 huitimu KATIKA vyuo mbali mbali nchini.
Pia fursa mbalimbali za ajira na kazi zimekuwa chache kutokana na idadi...
hii inabidi pia tz ipewe
==========
Rwanda imejumuishwa miongoni mwa Mataifa 12 mapya yatakayofaidika na ufadhili wa Serikali ya Marekani unaolenga kuongeza upatikanaji wa dawa ya sindano ya...
Hellow jamii,
Kata ya Nyamhongolo Mkoa wa Mwanza Jiji la Ilemela hatuna maji wiki sasa na wakati Ziwa Victoria liko hapa hapa Mwanza, hii ni aibu.
Pia soma: MWAUWASA: Kukosekana kwa huduma...
Hii ishu ya Passport naona kuna mazingira ya kuzungushwa kwa maksudi, maana hata mimi ni wiki sasa kila nikienda ofisi za Uhamiaji Shinyanga naambiwa kuna shida ya Mtandao, hata wiki jana nilienda...
Idara ya Uhamiaji Mbeya imekuwa changamoto na kero kubwa, nimeenda kuomba Passport nimerudi zaidi ya mara 4, mwezi sasa umeisha wanasema hakuna Mtandao wakati sisi tunajaza form zao online...
Nina shida kuna Jambo linanisumbua hapa nilipo nipo Chunya sehemu ninayofanyia kazi kuna raia wa Malawi ni wengi sana na wengi wao hawana uhalali wa kufanya kazi hapa nchini.
Shida iliyopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.