Nadhani wananchi wenzangu mtakubaliana nami kuwa Laini za simu zinapatikana kirahisi mno na zinatangazwa kila kona kila siku,
Lakini ikiwa tutahitaji kuondoa matapeli na wanaofanya matukio kwa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia mtu mmoja aitwaje Johnson Jonas mkazi wa Matejoo Jijini humo kwa tuhuma za kumpiga mtoto mwenye umri wa miaka kumi na tatu kufuatia picha mjongea...
Zaidi ya Madereva 400 wa Daladala katika Jiji la Mwanza na Manispaa ya Ilemela, wamesitisha huduma kwa muda wakisubiri kauli ya serikali kuhusu upandishwaji wa nauli baada ya kupanda kwa bei ya...
Wakazi wa Mtaa wa Makangarawe, Kata ya Makangarawe, Wilaya ya Temeke, wanatarajia kunufaika na huduma ya majisafi na salama kwa saa 24 kufuatia utekelezaji wa mradi wa kisima cha maji unaosimamiwa...
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa, ndugu Michael Mwang'onda, ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa utekelezaji mzuri wa mradi wa usambazaji...
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam.
Jiji la Dar es Salaam linatarajia kuandika historia mpya katika tasnia ya burudani baada ya kutangazwa kwa uzinduzi wa tamasha la kwanza la kimataifa la...
Naenda kuwasilimu kwa jina la Bwana wetu YESU kristo
Mimi sio mwandishi mzuri ila nitajitahidi kuandika vizuri ili muelewe hasa watumishi wa serikali na binafsi lakini pia na wafanyabiashara...
https://www.youtube.com/live/zvViP7gngNM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Shirikisho la Dunia la Madaktari Bingwa wa...
Kama una kwama kupiga hatua kwenye maisha yako tenga muda wa kuwa pekee yako kujizikiliza .
tupo katika dunia yenye kelele nyingi kama vile social media(mitandao ya kijamii), Marafiki, sehemu za...
KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2026, Ndugu Wazo Michael Mwang’onda, ametembelea na kuweka jiwe la msingi mradi wa kisima cha maji kilichopo Ilala Kota Jijini Dar es Salaam. Hatua hiyo...
Naombeni ushauri maana humu kuna watu wengi wenye akili na experience tofauti tofauti ila naomba kufahamu namna nzuri ya KUDAI mshahara maana inaonekana BOSS Hana mpango wa kulipa mwezi mmoja na...
Kama wewe ni mtu mwenye mawazo chanya (mtu positive) epuka makundi haya yatakushusha energy yako(drain energy).
Ni kweli binadamu wote tupo sawa na tunapaswa kuishi kwa amani na upendo katika...
Habari wanna Jf,
Nilipokuwa mdogo sikuwaza wala kufikiria maisha ni nini na kwa nini ninaishi!
Kwa sasa nimekuja na kuona mabadiliko makubwa kati ya utoto na ujana na utu uzima kadri siku...
Bei ya kupangisha nyumba iko juu kama dola 1200 .Ukiwa huko bila kazi ya maana mtaishi watu wawili au watatu ili mlipe kodi.Waafrika wengi wanalala nje.ukitaka kwenda huko hakikisha uko na kazi nzuri
Kifo ni nini hasa? Na kimeumbwa na nani?
Mara nyingi tunasikia wakisema “kifo ni haki ya kila mtu , lakini je, hilo lina maana gani kwa uhalisia?
Kwa mfano, mtu akijaribu kujiua na akanusurika...
Mwisho wa dunia ni siku ambayo mwandamu atakapokufa, hataweza kuongea,hataweza kula,hataweza kufanya chochote. Mwisho wake ndio huo, binadamu na viumbe wote wataendelea kuzaliana na kuzaliana na...
Habari Tanzania !..
Naomba wananchi tuamue na tuanzishe utamaduni maalumu; kwa kila kiongozi wa Taifa wawe wanatembea kwa miguu kutoka mahali wanakoishi kwenda Ofisini na kurudi nyumbani kila...
Jeshi la Polisi Visiwani Zanzibar linamshikilia Joe McCann ni Mchumba wa marehemu Ashly Robinson maarufu kama "Ashlee Jenae" kufuatia tukio la kifo chake lililoripotiwa kutokea siku kadhaa...
Tetesi za mjasiriamali aliyejipata miaka ya karibuni na staa wa filamu Tanzania, Jacqueline Masawe Wolper kwamba yeye na watoto wake wapo njiani kubadili dini, ndiyo trendi ya mitandaoni kwa sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.