Kardinali Müller anasema
“Inapaswa kusemwa wazi kwamba hakuna mtu aliye na haki ya kumkosoa Papa pale anapofuata kwa uaminifu utume alioupokea kutoka kwa Kristo wa kushuhudia Injili ya amani.”...
Kwanini wananchi Huwa tunaumia bila sababu pale watumishi wa Serikali pamoja na baadhi ya viongozi wakiwa wanalipa posho.
Mimi naona asilimia kubwa ya watanzania ni wakulima na wafanyabiashara ...
Habari za zenu wana JF,
Husika na mada hapo juu mimi ni kijana Mtanzania, ambaye nimeona nikajitolee kulitumikia Taifa kupitia Jeshi la Wananchi.
Tangazo nililiona na vigezo vyote ninavyo, ila...
Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Justine Masejo amesema wanamtafuta mtu mmoja anayedaiwa kujaribu kumbaka bibi mwenye umri wa miaka 80 mkazi wa Sinoni...
Je, Jamii tuna ELIMU ya kutosha jinsi ya kutumia gas na kulinda mtungi wa gas ili kuepuka hatari? Kwanini kampuni za gas zisingeweka sticker ya kuonesha do's na donts za gas.
Kwa mfumo wa picha...
Nimekuwa nikiona mjadala mwingi kuhusu video games, hasa watu wakisema zinapunguza focus na productivity, especially kwa vijana. Wengine wanasema kinyume chake — kwamba gaming actually inasaidia...
Juzi niliona Binti Raia wa Marekani ambae amefariki kifo cha utata hotelini Zanzibar na hadi leo kifo chake kinahusishwa na mpenzi wake mzungu inasemekana walikuwa na ugomvi hadi kutenganishwa...
SERIKALI ITUNGE SHERIA; BAADA YA KUACHANA MZAZI MWENYE KAZI NA UWEZO WA KIUCHUMI NDIYE AKAE NA MTOTO KWA MASLAHI YA MTOTO NA USTAWI WA JAMII.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Najua wengi...
Wana falasafa njooni tujadili hili kwa roho safi.
Kusema: "Alikufa kwa hiari yake" hakujibu swali la msingi: Je, kiumbe cha kimungu kisichokufa "kinaweza kufa" kwa maana yoyote? Kwa sababu Kama...
Mafuta yakipanda automatically gharama za maisha zitapanda kila kitu kitapanda bei.
Serikali zenye akili zina futa kodi na ushuru kwenye mafuta ili kuzuia bei ya mafuta kupanda na kudhibiti...
Tunduma sasa kila mtu anatemvea na pini kama kinga. Inadaiwa pini ni Dawa ya kujikinga na hali inayoendelea hapo Tunduma kuhusu kuibiwa maumbile nyeti ya wanaume. Polisi washakanusha habari na...
Tunapojenga miundombinu ya afya, tunapaswa pia kuzingatia ubora wa huduma kwa mgonjwa, Huduma za saratani zinahitaji uwekezaji mkubwa na usimamizi makini ili kuleta matokeo chanya " Rais Samia...
Nchi washirika wa USA + ISRAEL vs Nchi rafiki wa IRAN?
Hizi silaha za nuklia soon zitatumika,kuna nchi zikizidiwa zitaanza kuzitumia....na majibizano ya mashambulizi ya kutumia silaha za nyuklia...
Habari za wakati huu wana-JF,
Nimekutana na hii clip ya zamani kidogo ya kipindi cha Dr. Phil, ikimwonyesha binti wa Kimarekani, Treasure, ambaye licha ya kuwa na asili ya Kiafrika, aliamini na...
Mahakama Kuu ya Gauteng imeamua kuwa kampuni ya uwekezaji ya Patrice Motsepe, African Rainbow Capital (ARC), haiwezi kuwajibishwa katika kesi ya dola milioni 195 (Tsh. Bilioni 505.7)...
Tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu ucheleweshaji wa kurejeshewa fedha za tiketi za safari zilizoahirishwa kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) kwa kutumia reli ya kisasa (SGR).
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.