Amani ya Mungu iwe nanyi wana JF....
Wakuu,kwa muda kidogo nimekuwa nikijisomea mambo yanayohusu fedha na uwekezaji. Wataalam mbalimbali wanazungumzia maeneo mbalimbali ambayo mtu anaweza...
Kila nikitafakari na kuona jinsi madereva wa marais, makao wa Rais, waziri wakuu na mawaziri basi huwa naona uendeshaji wa Kiulinzi zaidi in case lolote likitokea hata ile parking yao tu utaona si...
Habari wakuu,
Katika pitapita zangu katika mitandao ya kijamii nimekutana na picha za tupu za mwanadada aitwae Sasha Kassim.
Kwa masikio yangu mwaka jana niliisikia TCRA ikisena kuwa TCRA...
Moja ya vitu vinachonishangaza sana kuhusu USA, ni kuhusu Miji yao, unasikia Mji una jina kubwa na kujulikana Dunia nzima lkn ukiangalia una watu wachache tu, kwa mfano San Fransisco pmj na...
Hellooo,
How are youu!!
Wazimaa!
Nadhani kila mmoja amejaribu kutumia mtandao wakijamii hususani FACEBOOK (wale wenye simu na interest hizo)
Kuna mambo pengine uli post leo ukiyaona au ukiona...
MRADI wa ujenzi wa barabara ya juu (flyover) katika eneo la Tazara jijini Dar es Salaam umefikia asilimia 58 na unatarajiwa kukamilika Oktoba mwakani.
Flyover Tazara
Naibu Waziri wa Ujenzi...
Mazungumzo haya popote yanapofanyika,iwe ni Magogonir,hotelini,n.k ni lazima yatahusiaha movement ya aina fulani either kama timu au hata movement binafsi za wajumbe wa majadiliano.
Kama unaamini...
SONGWE: Watu 236 wamebainika kuugua ugonjwa wa Kipindupindu. Serikali kupitia Idara ya Afya imeahidi kuchukua tahadhali za ziada.
Taarifa zaidi kukufikia hivi punde kupitia uzi huu.....
Tangu asubuhi nilkuwa natizama tv, ila chakushangaza niii startv kuwa na vipindi vingi vya mahubiri..
Chakujiuliza je ndo tv inayo tizamwa na watu wengiii????
Au coverage yake nikubwa sana...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Damas Nyanda.
Adam Mtembe (41) na mkewe Adalina Mtembe (39) wakazi wa kijiji cha Kasekese B Wilayani Tanganyika mkoani Katavi, wamekumbwa na mauti hayo usiku wa...
Nimenunua kifurushi cha sh 2000 (dakika 40 mitandao yote sms 1000 na mb 20) bila kikomo, badala ya kupata sms 1000 kama maelezo ya kifurushi husika yanavyoonesha, nimepokea sms 100 tu. Huu ni wizi...
Shirika hili la kikristo liliingia kwa kasi na kuaminiwa na serikali kwamba lina ufadhili kutoka nje ya nchi, kwamba litajenga mashule ya kumwanga, vyuo na hospitali 40. Serikali iliwaamini na...
Toka niache kazi na kuamua kujikita kutafuta pesa mtaani kuna mabadiliko mengi katika maisha yangu ambayo wakati Mwingine nikikaa nikitafakari najikuta tu nacheka sana,
Labda niwaonjeshe baadhi...
Katika hali isiyo ya kawaida, huku taifa likiadhimisha kumbukumbu ya kifo cha baba wa Taifa mwl Julius kambarage Nyerere Siku ya tar 14 Oct. Wanafunzi wa shule ya wasichana Masasi waliandamana...
Salamu, kwa wote!
Naomba nitumie fursa hii kumtahadhalisha mkuu wa gereza la kilimo,liliopo wiliya ya kilombero,gezera la kiberege,mkuu uwe makini sana vijana wako,wanakuhujumu sana wanapokea...
Toka jumamosi 14/10/2017 kuna usahili wa Maafisa Watendaji mji wa Masasi.
Nafasi zilizotangazwa ni 81tuu na kati ya jumamosi na jumapili kumefanyika mchujo na wamebakizwa watu 241 (ratio nzuri)...
Imebainika wanaume wengi hasa wenye umri mkubwa wapo katika hatari ya saratani ya kinywa zaidi kuliko wanawake kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo tabia ya wanaume kufanya mapenzi ya kunyonya...
Kumekuwa na malalamiko mengi ya wamiliki wa maeneo ambapo Vodacom wameweka minara yao kutokulipwa satahiki zao. Je nani yuko nyuma yao?
Na mara nyingi wamekuwa wakivizia maeneo ya watu wa hali ya...
Niwape hongera kampuni ya cocacola kwa kuonyesha kwa vitendo jambo hili, kuna wengine wanawaza kuwaminya wananchi wasipate kabisa habari na wengine wanaongeza juhudi za kuwafanya wananchi wapate...