Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkuu wa Wilaya ya Magu Mhe.Khadija Nyembo akifungua mafunzo hayo kwa niaba ya Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella. Rai hiyo imetolewa jana na wataalam wa uwekezaji katika masoko ya dhamana na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Watu wengi sana wanasumbuliwa na hali ya kukosa shukurani. Ukimwambia mtu hivyo anaruka hapana mimi nashukuru kwa kila ninalopewa, ila ukweli unabaki kuwa tatizo hili linasumbua wengi. Na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya kujisalimisha kituo cha polisi kwa wito wa Kamanda wa Polisi Dar es salaam , Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda ameeleza kuwa sababu ya kupekuliwa...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Wandugu umofia kwenu! Kuna hii tabia chafu na inayoashiria dhahiri utovu wa ustaarabu kwenye security check-points za airports zetu mbalimbali, hususani kwenye nchi zilizomo kwenye ukanda wa EAC...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kamanda Sirro ametoa ufafanuzi. Sirro anasema msako unaoendelea kwenye nyumba za kulala wageni hauwalengi raia wema bali wale waharifu na wanaoshirikiana na waharifu kupanga njama za wizi na...
2 Reactions
115 Replies
12K Views
Wasalaam,,,Familia ya great Thinkers.... Kuna mambo huwa yananitatiza jamani,,nataka kujua uhusiano wa utendaji kazi wa mtu na vitu viwili,,, 1.feelings na utashi wa akili katka upambanuzi wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwanafunzi wa kidato cha nne, Doroth Samson akizungumza na waandishi wa habari WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya John Baptist iliyopo Boko Basihaya katika Manispaa ya Kinondoni...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Moshi. Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amewaonya askari wa kikosi cha usalama barabarani kutogeuza tochi kuwa chanzo cha kudai rushwa. Pia, amewataka kutowanyanyasa madereva ambao...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Huwa nashangaa sana. Kila guest Babati huwez kukosa Biblia ya kujisomea. Iwe guest house ya bei ya chini au laa lakn biblia huwa lazima iwepo. Nini maana ya mji wa Babati kujawa na biblia kwenye...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimekutana na mtaalam kutoka chuo cha taifa cha usafirishaji Bwn KYANDO (NIT)akitoa mada ya waeendesha pikipiki , mengi amesema vizuri kasoro UVAAJI WA KANGOZI KIFUANI ETI KUKINGA UPEPO : Kanuni...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Huwezi ukawekeza hela kwenye kujenga nyumba wakati nyumbani hawana hela ya kula. Huwezi kununua gari wakati huna hela ya kulilea gari. Sasa raisi wetu yupo teyari kuona wananchi wake wanashinda...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Mwenye hoja achangie maana sitaki kuleta siasa katika hili. Hili neno litatimia na wengi tutakumbuka yale yaliyosemwa kwa muda mrefu. Hajawahi tokea, ila itatokea. Mkiona haya mjue mwisho wa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Mods msiufute uzi huu wala kuunganisha na nyuzi nyingine ili kusaidia wakazi wa Mtwara. Mgao wakutisha wa umeme unaendelea mkoani Mtwara. Kwasiku tatu sasa wilayani Masasi umeme hakuna kabisa...
6 Reactions
63 Replies
4K Views
Habari za asubuhi GT, kwanza naomba nitoe pole kwa familia,ndugu, jamaa na marafiki wote pamoja na watanzania kama taifa kwa ujumla kwa kupotelewa na wanajeshi wetu waliokuwa huko Congo. Mungu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna watu waanzisha magroup ya whatsapp na kufanya donation ya pesa kuanzia shs 10,000 ambapo mchangiaji analipwa 70% baada ya siku tatu. Lakini baada ya kuwa wamekusanya pesa ya kutosha...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Hivi unajua unaweza kupata kijiko au umma kwa shs 200 tu. Juzi nilikuwa na sherehe nikatumwa kwenda kununua vijiko na umma. Sikuamini nilipopata vijiko vya shs mia 200.Hela niliyopewa kununulia...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Waumini parokia ya mt. Maria Kimara wameanza kulibomoa jengo la kanisa hilo ili kupisha ujenzi wa barabara
2 Reactions
8 Replies
6K Views
Ninakerwa na hili wimbi la vijana hapa mjini unakuta kijana kavaa skafu ya sweta ina bendera ya Taifa kavaa shingoni wakati Jua kali. Sasa sijui wao hawapati joto? Au ni ulimbukeni au ndo...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari zenu wadau. Nina siku kama tatu tangu nimekuja shambani kwangu kwa ajili ya kuokota korosho. Nashukuru korosho zimezaa vizuri nimepata furaha kuangalia mazao yangu shambani. Lakini pamoja...
0 Reactions
8 Replies
980 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…