Maprofesa wa Tz wanaishi kwa stress sana na hawana pesa wala nini.Ni watu wa kulalamika ovyo na kushinda wakisoma vitabu visivyoisha bila hata kusaidia watu maskini katika'kuleta'mawazo mapya...
Hawa jamaa miaka ya 1800 walikuja na mitumbwi midogo kutoka huko Muscat,Oman.Tukaletewa utumwa kama wengi tulivofundishwa kwenye somo la historia.Pia meno ya tembo tuliona yalivo anza kua...
Mtoto mwenye umri wa miaka 11 said Nassoro Abdala,mwanafunzi wa shule ya msingi Chuno katika Manispaa ya Mtwara Mikindani amejinyonga kwa kutumia mtandio,kwa kile kilichoelezwa kusababishwa na...
Habari wanabodi
Ni matumaini yangu kuwa mu wazima wa afya. Nichukue nafasi hii kutoa mtazamo wangu katika haya ninayoyaona miongoni mwetu Watanzania, hasa hasa kuhusiana na maendeleo.
Nianze kwa...
Wenye nacho hata kwa kukwapua tuombe waendelee kuwa nacho vinginevyo sisi tusionacho hatuweza kulisaidia taifa.
Baada ya sisi tusiokuwa nacho tukilipwa ujira mbuzi na wenye nacho ndio tunapata...
Habari wanajamvi,naomba kama kuna mwana JF mwenzetu ambaye anaishi kihalali United Kingdom,(UK)tuwasiliane kwa pm,kuna jambo fulani naomba kumshirikisha.
Wasalaam.
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imewataka wachimbaji wa madini katika migodi midogo midogo kuwa makini kwani ongezeko la maji katika udongo linaweza kusababisha mmomonyoko wa ardhi na...
Kamanda wa Police Traffic nchini Fortunatus Musilim amekanusha taarifa kwamba Stika za Usalama zinalipiwa tzs 8000 na ukaguzi ni 15,000 amesema Stika hizo ni Buku Tano tu 5000 Tzs na mhusika...
Hivi sasa ile mizizi ya umoja ambayo Baba wa Taifa ali isimika inapotea, kwani kwa kiasi fulani imasababishwa na kule kujidai, kujua kwingi kwa mambo ambayo hayana tija kwa jamii yetu ya...
Wadau
Nimetoa pesa kwenye ATM ya NBC mchana huu. Cha kushangaza ndani ya dakika tano nitumiwa msg 3 mfululizo za pesa zilizotolewa kwenye account yangu.
Nimeenda NBC kuwaauliza nini kilichojiri...
Hizi ni nchi kumi bora ambazo Asiatic polisi wake wanaongoza kwa rushwa,
1. Kenya
2. Somalia
3. Sudani
4. Nigeria
5. Congo DRC
6. South Africa
7.Egypt
8. Zimbabwe
9.Uganda
10.Cameroon
Hongera...
Uhuru wenyewe wameripoti japo kwa kuipa umuhimu mdogo. Cha ajabu magazeti ya serikali haya hayana habari yoyote kumhsus Lissu, je hii si kuwanyima haki wasomaji wake? Taarifa kubwa kama ile...
NBS walitangaza nafasi za kazi kada ya Udadisi katika Utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya Binafsi (Household Budget Survey - HBS), jumla ya nafasi 450 kwa nchi nzima.
Utaratibu kwa waombaji...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es salaam inatarajia kuanza kusikiliza ushahidi wa kesi ya mauaji bila kukusudia inayomkabili Msanii wa filamu nchini Tanzania, Elizabeth Michael maarufu...
Mwanasheria mwandamizi waTCRA, Philip Fulikunjombe amesema ilichofanyika kwenye sheria ya makosa ya mtandao ni kutambua mazingira kwani makosa ni yale yale akitolea mfano kutukana na wizi...
Kaka wa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, Alute Mughwai ameeleza jinsi alivyomtoa mdogo wake chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) na kile ambacho alikisema mara tu baada ya kutoka ndani kwa...
Hapa kigoma vijana wamejiajiri kupitia bodaboda na imesaidia sana kiuchumi lakini kuna changamoto kubwa wanazo kutana nazo, kwanza wanakutana na abiria ambao cio watu wema na uwakodi na kuishia...
Maduka 15 ya pembejeo za kilimo na mifugo yaliyopo katika mji mdogo wa Katoro, Buseresere, Ushirombo na wilaya ya Mbogwe mkoani Gita, yamefungwa kwa muda usiojulikana baada ya wamiliki wake...
Tangu nilipopost uzi kuhusu ujenzi wa jiji la sayansi, Teknolojia na Ubunifu yaani Tanzanite City kumekuwa na mitazamo na maoni tofauti tofauti kuhusiana na suala hilo.
Wapo waliolichukulia suala...
Maana kwa hali ilivyo sioni kama kuna nia ya dhati ya vyombo vya usalama kuwafikisha watesi wa Mh. Tundu Lisu kwenye mkono wa sheria. Sasa, najaribu kuwaza kisheria kama inawezekana tu. Ikatokea...