Wanatuataje sasa mwehu wewe????Kejeli nyiingi mara Raisi wetu hajui Kiingereza, sijui anaogopa kwenda kwa Wazungu, sasa wenyewe Wazungu wanakodi Ndege ktk kwao kuja kwetu kujadiliana na Raisi wetu Ikulu yetu, hii haijwahi kutokea tangu kuumbwa kwa Afrika nyeusi, ...