ContinousImprovement
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 290
- 286
Wakuu habarini!
Kwa wale wataalam wa kupanga na kutimiza malengo naomba mnisaidie Mawazo maana mimi naona Kama napoteza muda tuu Duniani.
Mipango mingi nikiplan siitimizi, and am abit confused umri wangu unaongezeka tu lakini kimaisha nipo vile vile. Kazi ninayo na mshahara napata mzuri tuu lakini kwa miaka zaidi ya mitano nilofanya kazi sijaweza hata kutunza pesa, achilia mbali kujenga.
Nahisi sipovizuri kwenye planning naomba kwa aliepitia hali kama yangu na akaivuka tupeane ujuzi.
Nauogopa Umaskini. Naogopa maisha ya kutokuwa na ndoto.