Continental decoder wamekufa?Dialo waombe radhi watanzania au tukushtaki?

Continental decoder wamekufa?Dialo waombe radhi watanzania au tukushtaki?

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,190
Reaction score
24,620
Wakuu,
Nauliza continental decoder ndo bhas tena?nimeuliza hivyo kwa sababu huu ni muda sasa kingamuzi chao hamna customer care kabisa yaani ni zero
Ndugu yangu kanunua king'amuzi chao kipya hakionyeshi hata channel moja sasa nauliza jee kimekufa?maana kila fundi kashindwa
Jee dialo akishtakiwa atalalamika?
Jee yupo radhi kuwaomba msamaha watanzania kwa kuwadanganya na continental inayosumbua?
 
Hata fisi akitaka kuzaa hutafuta fisi dume jasiri na mbabe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nadhani next time uktafuta huduma utaangalia pia na levends sokoni
 
Hahahaha hivi huyo c ndo mmliki wa shule hapo Mwanza ilifungiwa?kweli ni hatari
 
Sijui kama atarudia tena kujipendekeza kwa ccm kilichompata aamini kabisa
 
Hata fisi akitaka kuzaa hutafuta fisi dume jasiri na mbabe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nadhani next time uktafuta huduma utaangalia pia na levends sokoni
sijui tuwashkat kbs
 
Back
Top Bottom