Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Najua hii imekuwa nje ya mategemeo yetu kutokana na taarifa ya Riport ya mazungumzo ya madini iliyopokelewa Jana zidi ya kampuni ya Accacia And Barrick. Mategemeo yetu kama watanzania kwamba...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna vifurushi tunanunua kupitia hapa "Ya kwako tu" kweye Menu yangu 1. Tsh 2000 = 5012MB/siku 30 2. Tsh 70000 = 73728MB/siku 30 Ukilipia kulingana na maekezo ya hapo juu unakatwa hela yako na...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Bwn.S.K.JAPHET (BHUZUZU) alizaliwa Tar.05 Julai, 1974 katika eneo la Manyovu kijiji cha Mwayaya, Wilaya Buhigwe, Mkoa Kigoma. Ni mtoto wa 7 kati ya watoto 9 wa familia ya Mzee ANGELO BUZUZU...
6 Reactions
31 Replies
19K Views
Visiwa vya Zanzibar vimepokea wageni 300 toka OMANI wakiwa na agenda tofauti ikiwa ni pamoja na kufanya biashara, kusalimia na kutalii.Wasiwasi wangu huu ujio utatusadia ,tutanufaikaje au una...
2 Reactions
63 Replies
5K Views
Watu 7 wakazi wa maeneo ya Parki Mugumu wameuwawa kikatili kwa kumiminiwa risasi bila huruma na askari walinzi wa hifadhi ya Serengeti wakiwa kwenye mashimo ya dhahabu ya Kilima Fedha. Tukio hilo...
5 Reactions
49 Replies
6K Views
Yaani hawa halotel wamekuwa wezi saivi kifurushi cha strimika youtube kimeshushwa kutoka mb 1220 hadi 600mb kwa shilingi 500 sasa hapo strimika nini sasa? jamani sasa TCRA wekeni limit ili...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari wandugu. Naomba kujua kama askari wa usalama barabarani wako juu ya sheria? Leo asubuhi nikiwa natoka nyumbani kwangu, umbali kama wa kilomita moja tu kutoka kwangu nilisimamishwa na...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Kwa unyonywaji uliofanywa na makampuni ya madini, nashauri kiasi cha fedha zitakazolipwa kitumike kujenga daraja la kigongo-busisi kama kumbukumbu ya unyonyaji uliofanywa na makampuni ya madini...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu wakazi wa kariakoo ,magomeni ,upanga ,posta mkisikia mingurumo siku ya Leo au kesho msichanganyikiwe Kama ilivyo miaka yote wahindi wanasherehekea siku yao iitwayo Diwali day...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama mnavyojua jamani vyuma vimekaza sana usawa wa bamkubwa, nimepata kibarua cha laki 2 hivi mkoa wa Dar, sasa swali ni je nitaweza kuishi Dar na mshahara wa laki 2 na naskia maisha ni magumu...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Usinitumie, sitaki, simtumii mwingine, Nitakuripoti. *Haka kacampaign ka TCRA kazuri.*
0 Reactions
4 Replies
997 Views
Ya Moro hakuna kauli makini toka selikalini kukemea tukio la fedheha Tujifunze kwa USA tukio la kutoa uhai hukemewa punde na mikakati ya usalama ya hali y juu kufuatilia.HIVYO TUITAKE KATIBA...
1 Reactions
1 Replies
943 Views
UONGOZI wa Hospitali ya wilaya ya Maswa mkoani Simiyu umembadilishia majukumu Daktari,Laurent Biyengo na kuwa mlinzi katika lango kuu la kuingilia ndani ya eneo la hospitali hiyo kutokana na...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wadau habari zenu nisiwachoshe mojakwamoja kwenye mada sisi ni wahanga tumevunjiwa nyumba zetu bila ya malipo uku Kimara Mbezi. Sasa chakushangaza kabla ya bomoa bomoa, Serikari ilitoa agizo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari jamani. Hivi naomba kujulishwa jambo moja!! Jana kocha wa Simba Jackson Mayanja kajiuzulu. Leo Mara Paaaaaaaap kapatikana replacement kutoka Rwanda raia wa burundi. Mara Paaaaaaaaaaaaaap...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna watu wana "ombwe" la kupenda, anaweza kupenda mtu akasahau watoto wake, wajukuu zake hata hatma ya kizazi cha tatu na cha nne baada yetu kupita.Wamegeuka wajinga Tobo, Tobo, Tobo, ooh picha...
0 Reactions
2 Replies
811 Views
Serikalini ni kama kuna tatizo gani sijui. Mibaba mizima serikalini miogaaa.Inaishi kwa hofu mno japo vimishahara kidogo. Ukimtekenya mtu aache kazi anakuwa muoga mno.Sijui kwanini. Mbona watu...
3 Reactions
16 Replies
4K Views
Wakuu, Kwanini serikali isiwekeze kwenye uanzishaji wa kampuni yake ya ving'amuzi? Tungepata fedha nyingi sana tungekua mbali sana tungeuza vifurushi tungekua mbali sana Uchumi ungeimarika...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Mwezi Julai waliposema wanaondoa road licence kwa wenye magari kuna watu walifurahi. Si mimi kwa kiwango kile kwani nilijua wanataka kutoza zaidi kwa kuweka kwenye mafuta. Kumekuwa na malalamiko...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kumekuwa na mporomoko wa bei ya dhahabu kwa wachimbaji wadogo Mjini Geita pekee wakati bei ya dhahabu London ni dollar 41.4 ambayo ukibadili kwa hela ya madafu ni sawa na sh 109000ukigawa kwa 12...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…