Kati ya mambo yaliyowahi kutia fora enzi za ukoloni na historia ya kuanzishwa kwa koloni la Tanganyika, ni ile mikataba feki iliyotengenezwa na Karl Peters na kisha kusainiwa na machifu bila hata...
SEHEMU YA KWANZA
Wakati Angel anakimbilia kuwahi ndege, ghafla alijikwaa katika shimo dogo lililokuwa kwenye geti la kuingia uwanja wa ndege na hivyo kusababisha kuumia kifundo cha mguu wa kulia...
Siku chache baada ya Mhe. Dkt. JPM kufanya mabadiliko kwenye Baraza la Mawaziri na kutenganisha Wizara iliyokuwa imechanganywa na kilimo na ufugaji, achana na Ile ya Nishati na madinj. Nimeona...
Angalia Bill zako, angalia ndoto zako, angalia malengo yako kwa kias gani umeyatimiza, angalia kwenye hali yako ya sasa iko vipi, angalia akaunti yako, jiulize wikiendi una haki ya kupumzika ...
Declaration of interest. Naunga mkono vita dhidi ya vitendo vya kishoga kwa 100%.
Mapenzi ya jinsia moja(ushoga)ni vitendo visivyovumilika katika jamii za kiafrika richa ya baadhi ya mataifa...
Nina jamaa yangu tulisoma naye kitambo ni mtu wa dini sana. Huyu jamaa ana chuki sana na wazungu mpaka namwona amekonda sana na hata ukimtizama usoni hana nuru. Tulikuwa tumepanda wote ndege akiwa...
Nyumba zaidi ya miamoja ishirini zimechomwa moto na mifugo zaidi ya Elfu moja mia nne ishirini na saba zimekamatwa za wananchi waliovamia msitu wa Hifadhi ya Taifa wa Minyughe wilayani Ikungi...
Baada ya Air Tanzania kuibuka na ndege zake toka kampuni ya Canada,wao Fastjet wameibukia Brazil na kuleta ndege aina ya Embrer190 (E190),twin-jet engines.
Kuanzia juma lijalo,wateja wa Fastjet...
Nimelazimika kulisema hili maana limekuwa sugu.
Ofisi ya Bima ya afya imelazimisha kuwepo kwa duka moja tu la Dawa hapa mtwara linalotoa huduma kupitia Mfuko huo.
Uhuni wanaofanya ni huu...
MATUKIO ya madaktari kusahau vifaa vya upasuaji kwenye miili ya wagonjwa si jambo geni duniani.
Ni matukio ambayo yameshuhudiwa mara kadhaa nchini Tanzania tena katika hospitali kubwa kabisa ya...
Wajuzi wote nawaombeni mnisaidie ili na mimi niliyechelewa kutoa tongo tongo nifahamu maana ya sentensi hii iliyojipatia umaarufu mkubwa sana kwa kipindi cha masaa 24 yaliyopita , nchini Tanzania...
Akiwa anaongea ' mubashara ' kabisa sasa hivi kupitia Kipindi cha 360 cha Clouds tv Waziri mpya wa TAMISEMI, Mchezaji mpira / kandanda mzuri tu wa zamani na mtoto wa mjini hasa Seleman Jaffo...
Tokea mchana baada kukamilika kwa mazungumzo na Wazungu wa Madini wa Barrick na kupelekea utiaji saini wa makubaliano mapya ya usimamizi na malipo stahiki nimekuwa nikipitia Social Platforms...
Scientists have discovered that a person's consciousness continues to work after the body has stopped showing signs of life – meaning they are aware of their own death.
And there is evidence to...
Wakuu salam nyote.
Juzi kuna namba mpya imenirushia TZS 740000 bila maelezo yoyote kimakosa na mpaka sasa haijanipigia simu wala kampuni husika haijairudisha hela hiyo.
Ipo tu toka juzi nami...
Tunapenda kupunguza matumizi ya nishati, hizi bulb ambazo ni rafiki wa mazingira na zinazookoa nishati(energy serving bulb) zimekuwa zikitumika zaidi kwa sasa.
Ila ni vyema ujue kwamba hizi bulb...
WAZIRI wa Nishati, Dk. Medard Kalemani amesema kaya 3,000 zitasambaziwa gesi jijini Dar es Salaam ndani ya miaka miwili baada ya kuanza kwa utekelezaji wa mradi huo Aprili, mwakani.
Dk. Kalemani...
Habari wakuu katika pita pita zangu mtandaoni (facebook) nimekutana na account Fake inayotumia jina la mh Rais mstaafu Jakaya Kikwete
Hawa watu wanatangaza mikopo pamoja na application unayoweza...