FrediusSnowden
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 269
- 225
Katika maisha kuna mambo fulani ya msingi; embu fikiri kidogo mzazi! Ukiangalia usawa huu wa kidigitali jumlisha mbilinge hizi hapo BAKTA ni wazi kama kumeza kitu fulani kigumu, wallah!
Inakuja ile logic ya kinyonga kukaa kichwani;mjomba aje kumtoa. Sasa swali la msingi mjomba anajua kuwatoa vinyonga kichwani?
Hapo ndipo inakuja tena ile logic ya usimpatie nguruwe madini achezee. Kwamba kwenye ile makimikia kuna madini ambayo nguruwe wanachezea?
Ndio inaingia ile logic ya mkuki mtamu kwa nguruwe;sie watu ni mchungu sana kwetu! Tunaweza kunywa kisusio chake kweli?
Inakuja ile methali adimu masikioni, "asiyesikia la mdogo, huvamia gogo". Basi wanaume wa shoka wanapasua gogo kwa shoka.
Hamadi silaha kibindoni; wanasema fimbo ya mbali haiui nyoka. Kufikiri kuna nyoka mmoja tena ana kengeza. Tuna njaa sana tumchinje kwa shoka tunywe supu!
Endelea na fumbo...