Mjema Vushanje
Senior Member
- Sep 24, 2017
- 159
- 353
Baada ya kuaminiwa na watanzania kwa muda mrefu imefikia hatua sasa hawa jamaa wametugeuka, yaani hata TBC sasa wana nafuu, mambo wanayofanya hayaambiliki.
Habari zinazoikosoa serikali wanatia kapuni, habari njema kwa wapinzani wanatia kapuni ama wanatangaza tofauti au kwa ufinyu mnoooo!
Jamani tusipowapigia kelele watapotosha wengi maana kumbukeni kuwa watz wengine inawachukua muda sana kubaini hayo mabadiliko.
Yan leo nilikuwa na simu yangu napitia magazeti na kwa bahati nzuri radio one nao wakawa wanasoma heading za magazeti....
Yani ilibidi niangalie vizuri tarehe maana nilidhani labda yale magazeti ninayosoma mm kwenye simu ni ya jana,
Yani jamaa wanadokoa vile vihabari visivyo na uzito na kuacha mijihabari muhimu eti kwa kuwa wanahisi sio nzuri kwa serikali,
Sio hivyo tu...
Wanapofikia kwenye habari za kuuponda upande mwingine ambazo zinaandikwa sana habari leo, uhuru, mzalendo, Tazama n.k jamaa wanasoma kila kitu.
This is not not not fair...
Nadhni ni wakati sasa wamiliki wa magazeti wakatae IPP MEDIA kuchambua magazeti yao!