Leo nimefutwa na mwenyekiti wa kitongoji na kutakiwa nilipe mchango wa shilingi 15000 kwa ajiri ya ujenzi wa madarasa, lakini rist aliyokuwa nayo imeandikwa mapato ya kijiji je siwa kumpa hiyo...
Mama Salma Kikwete amewaonya wanaume kuacha tabia ya kuwaambia wanafunzi wa kike wa shule za msingi na Sekondari kwamba wamependeza.
Alisema kauli ya kupendeza haina lengo jingine bali...
Wakuu. Tupo pamoja.
Ukiwa unakaribia kufika Mombo ukitokea Hedaru kuna eneo lina konakona kama mbili hivi na ukienda mbele kabla hujafika Liverpool Hotel pale Mombo karibu sana na wanaposimamaga...
Habari wakuu.
Naomba kujua ipi hospitali au medical centre nzuri naweza kumpeleka mgonjwa akapata matibabu ya haraka na mazuri.
Nataka kumpeleka bimkubwa(mama) ila sijajua nimpeleke wapi...
TABORA: Serikali ya mkoa na Halmashauri ya Manispaa wabomoa Nyumba zaidi ya 60 , zilijenga kinyume na sheria eneo la Shule ya Sekondari ya wasichana ya Tabora, waliobomolewa kufunguliwa kesi ili...
Wamekata tena. Wallah wamekata tena!
Toka juzi October 24 ni hivihivi. Ikifika saa 1245 jion unakatika. Na kurusdi ni saa 6 usiku.
Shida ni nini jamani?
Mitambo?
Mafundi?
Uchakavu wa...
Tanga. Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi amesema wapo katika hatua za mwisho ya kuandaa mapitio ya Sheria ya Uvuvi itakayokuwa na adhabu kali kwa watu watakaobainika kufanya uvuvi haramu.
Katika...
wakuu kuna sehemu nimepita nikaona mama fulani ameorodhesha list ya hele za wajerumani al maarufu kama Rupia ambazo zimetumika zamani na akiwa na machinga aliyekuwa akimuuzia hizo sarafu je...
Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Tathmini, Archard Kalugendo (49) na mthamini wa madini ya almasi wa Serikali, Edward Rweyemamu (50), wameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu iwasaidie waweze kupata...
Utawasikia wakijinasibu kwa kusema wao ni watetezi wa wanyonge, lakini kwa yale yanayofanya niwe mnyonge wameyafumbia macho na kujifnya hawayaoni; They are turning a blind eye to what makes me be...
Wana JF,
Leo tumesikia Waziri Kalemani akimwajibisha meneja wa Kidatu kwa kosa la kutukosesha umeme Tanzania mzima . lakini Je, Nani wakuwajibishwa kwa kosa la kurudia madaraja ya zamani ya...
Habari wana jf naomba mnisaidie nifanye nini kuondokana na hali hii kila ninapofikiria kuhusu kifo juu yangu Siku kikifika nakosa amani nanyong'onyea Kwa kweli haya mawazo nitayapotezeaje kiaina...
Kwa wanabodi JF na Mkurugenzi Dstv;
Wapendwa kwa hali ya sasa hela ni ngumu sana matumizi yamekuwa juu kiwango kikubwa na hela haionekani. Tukiachana na malalamiko ya wapenzi wengi wa soka hapa...
1. Watu wanaofika Hospital kutembelea WAGONJWA wengi zaidi ni wanawake kuliko wanaume... hata nikiangalia ndugu wa mgonjwa mmoja mmoja...
2. Hata ndugu wanaosindikiza wagonjwa hospital wengi wao...
Na Mwamvua Mwinyi,Kibaha
HALMASHAURI ya Mji wa Kibaha, mkoani Pwani,imewachukulia hatua ya kinidhamu kwa kuwafukuza kazi watumishi 28 kwa makosa ya utoro kazini, kughushi vyeti na upotevu wa mali...
Serikali hili kweli imechemsha na kuacha majonzi kwa maskini kuwa ubomoaji wa nyumba unalenga matajiri waliowaibia viwanja maskini ilihali unafanya tofauti na sera yako.
Kilichotokea Tabora kwa...
Kwanza napenda kutoa pongezi za dhati kwa Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa mabadiliko makubwa uliyoweza kuyafanya katika kipindi kifupi cha uongozi wako.
Malalamiko yangu ni...