Utafiti? Tuambie je ni mahali gani upo sasa, je umeme upo wakati huu

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
843
1,363
Ni kautafiti kadogo. Mimi nipo mwanza mjini mahali nilipo hakuna umeme muda huu. Nataka kujua watanzania wenzagu hali ikoje uko mlipo
 
hapa nilipo ulikatika sa moja kamili jioni hii but umerudi Tayar...ila najua watakata tu time c nyng....usiulize niko wapi najihadhari na nissan nyeupe
 
Back
Top Bottom