Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), imeanza kulima majani aina ya Lusini ambayo ni chakula cha Faru Fausta ili kupunguza gharama za kumtunza mnyama huyo.
Faru Fausta mwenye miaka 54...
Baadhi ya wabunge wamehoji ni kwanini magari ya wakuu wa mikoa na wilaya yanatangulia mbele huku ya kwao yakiwa ya mwisho katika msafara wa Rais pindi anapotembelea majimbo yao.
Hoja hiyo...
Salaam jf.
Kwa wale madereva wa jiji la Dar wenye magari binafsi au ya ofisi, usikubali kutoa namba zako za leseni pale askari wa usalama barabarani anapozihitaji namba zako kwa muundo wa kutaka...
Mtazame Steve, Milionea aliekua na mbwembwe na majivuno hasa kuhusu kipato chake na mapesa anayomiliki na kua na majivuno mengi. Ila yote yaliisha na kugeuka majonzi na simanzi. Unadhani ni kwa...
Mh. Adam Kigoma Ali Malima kwa ukarimu wetu sisi wana MARA natumia wasaa huu na ukurasa huu kwanza kukukaribisha huku nyumbani kwetu KARIBU SANA.
Mheshimiwa mara ufikapo huku kwetu usisahau...
Jana nilipita dukani kwa 'mangi' kununua Blueband. Zilizokuwepo ni zile ndogo kabisa nikachukua moja.
Kufika nyumbani nikapaka kwenye sandwich yangu wakati nakula nikahisi ladha imebadilika...
Jamani nmesikitishwa sana na huduma mbya tena za hovyo hapa KCMC leo tunasubiria X rays kwa zaidi yà lisaa limoja .Kwakweli tena mgeni amepata ajali.KCMC hovyo hovyooooo hovyo fuatilien aliekuwa...
Kwa wale ambao hamjui;
Moja ya maelekezo ya ujenzi kutoka manispaa yanayopaswa kuzingatiwa unapojenga nyumba ya ghorofa mtaani kwako, (Sikumbuki kifungu namba ngapi) ni kuhakikisha unawaezekea...
Askari wa Ofisi ya Upelelezi Mkoa wa Ilala anashikiliwa na Polisi akituhumiwa kumbaka mtoto wa miaka sita anayesoma shule ya awali.
Habari hii imeandikwa na Nipashe.
====
Taarifa...
Baba mzazi wa Regina, Daniel Labai akizungumza na Mwananchi leo Jumapili Oktoba 29,2017 amesema wanatarajia kumzika kesho Jumatatu Oktoba 30,2017 katika Kijiji cha Mamire wilayani Babati.
Labai...
Na
Juma George
Tanzania ni mali yetu, kuipenda na kuijenga ni wajibu wa kila mmoja wetu. Huu ndio ulikuwa msimamo wa wazee wetu walioipigania na kuikomboa nchi hii kutoka katika mikono dhaIimu ya...
-Kila kukicha watanzania wanalalamika maisha n magumu,Muheshimiwa raisi twakuomba utufikirie zaid sio kwamba rushwa na mianya ilifanya urahisi wa maisha hapo kwanza inawezekana kuna njia rahisi...
Watoto watatu wamefariki dunia baada ya kuzama baharini eneo la Muungoni mkoani Kusini Unguja.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Unguja, Kheri Mussa Haji aliwataja watoto hao kuwa ni Issa...
Mwanafunzi mmoja wa darasa la nne katika shule ya msingi Mwaya wilayani Ulanga mkoani Morogoro amefariki dunia baada ya kuvamiwa na mamba wakati akioga na wanafunzi wenzake mtoni huku matukio ya...
Kwa watu wa Dar wale wapenda chips kuku, mishikaki ya kuku,matumbo,miguu na vichwa pilipili kidogo, kachumbari pembeni na Tomato
Jiangalieni sana kuweni makini kuku wengi wamekufa kwa mafuriko...
Rais Mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, amemtumia ujumbe Rais wa sasa wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kuhusu siku yake ya kuzaliwa ambayo...
Kila nikikumbuka haya mauaji machozi yananilenga....najiuliza kwanini Tanzania haikufanya chochote na ikasubiri USA na nchi nyingine za maghalibi.
Am I missing something?Nakumbuka Primary...
Watu wasiojulikana wakija na Agenda yao labda waue lakini wakipiga risasi damu ipo tutaongezewa na kuendelea kutafuta Ukombozi wa hili Taifa
Hii ni alama ya Ukombozi wa Taifa letu lakini pia ni...
Haya makanisa ya kilokole yanatupa tabu sana hatupati usingizi kwa muziki wanaopiga kwenye makanisa yao usiku, wanafoka usiku kucha sijui maombi ya aina gani haya.
Sijui serikali imeweka sheria...