EthanMallaky
Member
- Oct 28, 2017
- 57
- 30
-Kila kukicha watanzania wanalalamika maisha n magumu,Muheshimiwa raisi twakuomba utufikirie zaid sio kwamba rushwa na mianya ilifanya urahisi wa maisha hapo kwanza inawezekana kuna njia rahisi nyingine ya kupunguza ugumu wa maisha..