Manispaa; Ukijenga ghorofa ni sharti uwaezekee vyoo majilani zako usijekuwachungulia

D

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Messages
3,404
Likes
5,735
Points
280
D

dmkali

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2014
3,404 5,735 280
Kwa wale ambao hamjui;

Moja ya maelekezo ya ujenzi kutoka manispaa yanayopaswa kuzingatiwa unapojenga nyumba ya ghorofa mtaani kwako, (Sikumbuki kifungu namba ngapi) ni kuhakikisha unawaezekea vyoo na Bafu majilani zako wanao kuzunguka kila upande wasiozidi wanne pande zote. Usipofanya hivo unaweza shitakiwa Kwa kosa la kuingilia faragha ya mtu (Uzalilishaji)
 
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Messages
30,997
Likes
6,428
Points
280
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2011
30,997 6,428 280
Sheria nyingine bana
...
 
F

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Messages
2,697
Likes
7,226
Points
280
Age
28
F

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2011
2,697 7,226 280
nchi zetu maskini lazima tulindane
 
Beira Boy

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Messages
13,962
Likes
13,906
Points
280
Age
21
Beira Boy

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2016
13,962 13,906 280
Mi nilifikiri mwenye ghorofa alitakiwa awashitaki wao kwa kumuonesha faragha zao bila idhini au kumweka kwenye majaribu....!
Hahaaaaa duh hawa ndo wabongo ni noma sana

Sijui huwa mnawaza ni nini hadi kutoa majibu kama haya
 
L

lolo123

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2017
Messages
455
Likes
445
Points
80
Age
25
L

lolo123

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2017
455 445 80
Hakyamama! ....hunishtaki mm kipumbavu hivo
 
tramadol

tramadol

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Messages
5,182
Likes
4,004
Points
280
tramadol

tramadol

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2015
5,182 4,004 280
Kwa wale ambao hamjui;

Moja ya maelekezo ya ujenzi kutoka manispaa yanayopaswa kuzingatiwa unapojenga nyumba ya ghorofa mtaani kwako, (Sikumbuki kifungu namba ngapi) ni kuhakikisha unawaezekea vyoo na Bafu majilani zako wanao kuzunguka kila upande wasiozidi wanne pande zote. Usipofanya hivo unaweza shitakiwa Kwa kosa la kuingilia faragha ya mtu (Uzalilishaji)
Nimeikuta hiyo mahali ndugu... Jamaa kununua mabati ya vyoo vyote vya majirani na kuezeka ni gharama zake na amefanya hivyo.
 
M

mswangilishi

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2016
Messages
431
Likes
1,072
Points
180
M

mswangilishi

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2016
431 1,072 180
Kesho wacha nimuibukie jilani yangu snipe Bati zangu ...nimechoka kila siku kuoga hadi nisubili usiku
 
kidadari

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Messages
3,843
Likes
2,521
Points
280
kidadari

kidadari

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2012
3,843 2,521 280
kama nyumba ya jirani haijaezekwa jew!?? nao wtawekewa mabati?
 
HOMBOY

HOMBOY

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Messages
1,440
Likes
910
Points
280
HOMBOY

HOMBOY

JF-Expert Member
Joined May 16, 2016
1,440 910 280
Kwa wale ambao hamjui;

Moja ya maelekezo ya ujenzi kutoka manispaa yanayopaswa kuzingatiwa unapojenga nyumba ya ghorofa mtaani kwako, (Sikumbuki kifungu namba ngapi) ni kuhakikisha unawaezekea vyoo na Bafu majilani zako wanao kuzunguka kila upande wasiozidi wanne pande zote. Usipofanya hivo unaweza shitakiwa Kwa kosa la kuingilia faragha ya mtu (Uzalilishaji)
kama ni kweli basi hizo sheria ziliandaliwa na watu masikini
 
Auz

Auz

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2016
Messages
4,163
Likes
2,672
Points
280
Auz

Auz

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2016
4,163 2,672 280
Ni ustaarabu gani wa kujenga choo au bafu halafu huezeki?
 
Forum statistics

Threads 1,238,869
Members 476,196
Posts 29,334,852