Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwanariadha Ismail Juma amefariki dunia baada ya kupata ajali ya gari leo jioni wilayani Karatu. Baba Mzazi wa marehemu mzee Juma amethibitisha kutokea kwa msiba huo. Marehemu Ismail Juma hivi...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Waathirika hao walitoa kauli hiyo baada ya Rais kutaka zaidi ya nyumba 3,000 jijini Mwanza zisibomolewe kutokana na ushiriki wao katika Uchaguzi Mkuu uliopita. Dar es Salaam. Waathirika wa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kwa habari nilizozipata kutoka Iringa ni kwamba Chifu wa Wahehe, Abdul Adam Sapi Mkwawa amefariki dunia jioni ya Jana. Poleni sana wahehe, poleni sana wanakalenga na Iringa kwa ujumla. Pia soma...
0 Reactions
63 Replies
24K Views
Wengine wanasema ni barua/Tangazo feki inayohusu kusitishwa kwa ajira za wizara ya afya zilizo kuwa zimetangazwa tarehe 31/10/2017.Kwa madai ya kuwa barua ina tarehe mbili tofauti,lakini pia haina...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nimeshangazwa na kitendo cha TV hiyo asubuhi ya leo iliyopo katikati ya jiji kusoma magazeti 3 tu, Habari Leo, Uhuru na Daily News. Hivi inawezekana kwa location walipo pale mtaa wa Jamuhuri/...
3 Reactions
5 Replies
958 Views
Hivi ni nani huyu aliyefanya hili? Ni nani alimpa ujumbe wa halmashaurin kuu ya CCM na kukinajisi Chama? Huyu jamaa Ujangili wote anahusika, ...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari JF, Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha IFM, niliibiwa vyeti vyangu vya form six, pamoja na Laptop yangu katika begi, nilikuwa naulizia kuwa naweza kupata vyeti vingine kutoka NECTA?? kwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Afisa Magereza Bwana Neuro Mbwilo amejishindia dau kubwa kuwahi kutolewa na Tatu Mzuka la shilingi milioni 110 kupitia Mzuka jackpot iliyoonyeshwa kupitia vituo mbalimbali vya runinga nchi nzima...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Mheshimiwa Kigwangala, Ukiwa waziri wa maliasili na utalii, binafisi napenda kutumia nafasi hii kukupongeza kwa kuteuliwa kwako kuwa waziri wa wizara hii nyeti na yenye maslahi makubwa kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna pombe ambayo ni mchanganyiko wa nyoka, jongoo na mvinyo uliotengenezwa tokana na nafaka kama mchele, mahindi, mtama nk.Angalia picha zake hapa chini.Kitu kimeenda shule!!!
1 Reactions
18 Replies
5K Views
TATO is happy with Minister to agree on TALA categorizing BUT TATO does not want to put its Membership in to Categories so that many tour tourism players can join What TATO is advocating, can...
0 Reactions
4 Replies
865 Views
Naam, nasema tena huyu jamaa ni mtu social sijapata kuona, ukitazama kuanzia nyumba anayoishi,Gari anayoendesha,Nguo anazovaa watu anaozungukwa nao, sidhan kama kuna bilionea mwingine hapa duniani...
4 Reactions
27 Replies
10K Views
Jamani kuna taarifa leo kwenye gazeti la MAGAZETI leo kwamba Mwenyekiti wa Uvccm wilaya ya Arusha,SAITOTI ZELOTHE ambaye pia ni mtoto wa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Rukwa,ZELOTHE STEPHEN...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Alivamia shule ya msingi na kumkumbatia mwalimu kama anataka kufanya naye mapenzi, walimu walipiga kelele ila hakuna mwananchi aliyekuja kuwaokoa, ila walimpiga fimbo na kumfungia chooni, huko...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu naomba kuuliza je nikweli baadhi ya watumishi wa umma watapandishwa madaraja mwezi huu. Nauliza hivi kwakuwa wapi wanaosema Mhe.Rais atapandisha madaraja mwezi huu kwa watumishi elfu 59 na...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kila mtu ana uwezo mkubwa wa kufikiri na akili nyingi kabla hajaongea chochote.Na thamani ya mtu itapanda au kupungua pale atakapoongea au kufanya kitu. Ili uweze kufanikiwa katika kitu chochote...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi falsafa juu ya matumizi ya bajeti ambayo ipo ndani ya uwezo wako ikoje? Hili ni swali la muhimu sana ambalo kila mmoja wetu anatakiwa kujiuliza kataka maisha yake ya kila siku. Nasema hivi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ajira za tamisemi (afya) miongoni wa waliopangiwa kazi ni kanisa la Haydom.hahah
1 Reactions
38 Replies
11K Views
Baada ya Serikali kuzitaka nyumba za ibada Kimara zilizo katika hifadhi ya barabara kubomoa wenyewe kabla hawajabomolewa na serikali. Serikali imesema endapo wasipobomoa wenyewe Serikali...
27 Reactions
135 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…