Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Salam wakuu, Ni muda wa kujadili yanayotuhusu vijana, nimekaa nakufikiria kuhusu tatizo kubwa la ajira ambalo kwa sasa ni kama janga la kitaifa kwa vijana, wasomi na wasio wasomi nikajaribu...
7 Reactions
29 Replies
9K Views
Habari wadau?? Kama heading inavyojieleza hapo juu najitaji msaada kwa anayefahamu hatua za kufuata ili mipime kiwanja changu ambacho tayari nimeshaweka kamjengo. Eneo ni kongowe. 20×20...
0 Reactions
1 Replies
865 Views
Wakuu. Nimetembelea page za watumiaji wa mtandao wa instagram wa mataifa kama Afrika Kusini, Ivory Coast, Mauritius n.k kiukweli wanawake wa kitanzania wanatia aibu, na nilichogundua wengi ni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mkuu pole na majukumu yako, nakuomba utembelee kimara brt asubuhi kama saa kumi na mbili ukae mpaka saa tatu asubuhi. Naomba watendaji wa brt wasikujue kabisa na wasijue kama uko...
0 Reactions
4 Replies
839 Views
Baada ya Kusikia agizo la Waziri TANESCO walirudisha umeme jana usiku ukiwa hauna nguvu hata ya Kuwasha Bulb ya Torch Acha hiii Sony Music theatre ya Watts 1,000. Naweza kusema umeme haujarudi...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
helo wenzangu habari ya jumamosi katika kuwaza kwangu nikagundua mpaka mtu upate janga ndo utagundua mambo mbali mbali hapa duniani, Yatasemwa ya kweli na mengine uongo na wengine kujaribu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mtoto wa kike mwenye umri wa miaka miwili na miezi mitano amelazwa hospitali ya wilaya Handeni baada ya kufanyiwa kitendo cha ukatili cha ubakaji na kutelekezwa porini na aliyemfanyia kitendo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Umoja wa Ulaya (EU) Kupitia Kamishna wa Ushirikiano wa Kimataifa na Maendeleo, Neven Mimica umesema utaendelea kushirikiana na Tanzania katika miradi ya Maendeleo ili kujenga jamii inayoheshimu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imekamata mifuko 400 ya sukari iliyokuwa ikisafirishwa kwa magendo. Taarifa ya mamlaka hiyo imesema mifuko hiyo ya sukari ya kilo 50 kila mmoja imekamatwa usiku...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwanza. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limetekeleza agizo la Rais John Magufuli kwa kumpatia ulinzi Ana-Joyce Francis, mjane mwenye watoto sita, aliyeangua kilio mbele ya Rais John Magufuli...
0 Reactions
2 Replies
959 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limetekeleza agizo la Rais John Magufuli kwa kumpatia ulinzi Ana-Joyce Francis, mjane mwenye watoto sita, aliyeangua kilio mbele ya Rais John Magufuli akilalamikia...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI) Mheshimiwa Josephat Kakunda amemuagiza mkuu wa wilaya ya Mpanda Bi.Lilian Matinga kuwasimamisha kazi walimu watatu...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
I Mods naomba futa hii mada imejipost kimakosa
0 Reactions
0 Replies
784 Views
Nimekua nikiangalia programme nyingi kupitia Azam TV lakini huwa hawaonyeshi neno live hasa kwenye.Azam Two na Azam Sports 2. Kwa mfamo muda huu nacheki game ya Majimaji na Stand United lakini...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana jf Naomba ushauri wenu naomba kujua jinsi ya kuanzisha fiancial service itakayokuwa inatoa mikopo kwa watumishi wa umma tu. mwenye experience na anayejua changamoto zake anijuze, na ile...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wana jf Naomba ushauri, nawezaje kuanzisha chuo kitakachokuwa kinatoa Certificate, utaratibu uanzie Kwenye kusajili ni hatua zipi napitia hadi vitu ninavyotakiwa kuwa navyo ninapokuwa nimeanzisha...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Naamini alowaroga tigo ndo kawaroga na nyie aseh. Internet hakuna kabisa hata ukiwa posta kati ya mji. Nimeingiza uni imesoma nina bando kuja cheki hakuna kitu wala internet sina. Yote Tisa kumi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Katika maeneo mbalimbali duniani kunywa pombe ni suala la kawaida katika mikusanyiko ya kijamii. Lakini matumizi ya vilevi humuweka mtu katika hatari ya kudhurika kiafya na kuathirika kisaikolojia...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
KABLA ya kusoma simulizi hii, bila shaka hakukuwa na kitu walau kinachofanana nacho ndani ya ubongo wako hasa iwapo unatokea katika taifa linaloendelea. Lakini unaweza ukawa umewahi kukiona...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…