Naomba muongozo namna ya kupima kiwanja ambacho tayari kimeshajengwa

chichimizi

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
1,074
338
Habari wadau??

Kama heading inavyojieleza hapo juu najitaji msaada kwa anayefahamu hatua za kufuata ili mipime kiwanja changu ambacho tayari nimeshaweka kamjengo.

Eneo ni kongowe.
20×20.

Muongozo tafazali
 
unapimiwa tuu kama kiwanja cha kawaida tuu cha msingi ni mwisho wa mipaka yako wanakuja kuchukua points zao ,na kuanza process
 
Back
Top Bottom