Kondoo wamedhihirisha kwamba wana uwezo wa kutambua na kutofautisha nyuso za watu wanaowafahamu, kwa mujibu wa utafiti.
Watafiti katika Chuo Kikuu cha Cambridge waliweza kuwafundisha kondoo...
Ukweli umekuwa uchochezi, watanzania Tunawaogopa wasiojulikana. And the fact hawajawika kwa muda sasa sijui wamebadilisha mkakati.
Yaani watanzania tumekuwa waoga sana.
Hivi Mwalimu angeluwa...
Wakuu salaam
Napendekeza serikali ijenge ukuta mkubwa kuzunguka mipaka ya kenya na Tanzania na kuwepo na mlango mmoja tuu wa kuingilia na kutokea..
Hii itasaidia kuzuia mifugo yote inayovuka...
Wanabodi..!
Kuna uvumi unaendelea mtaani juu ya hizi taasisi mbili kuu za uma zinazojishughulisha na masuala ya uendelezaji wa milki hapa nchini Tanzania kuweza kuunganishwa na kuwa taasisi...
Wakuu hii imekaaje ?Hivi kwa nini wale average students hufanikiwa sana maishani katika vitu vingi wanavyovifanya ikiwemo kuwa na uwezo mkubwa wa kipesa na kuwa viongozi wazuri kuliko wale gredi...
Naomba kueleweshwa jamani.
Mkoa ya Nyanda za juu kusini na hata ile ya ukanda wa Ziwa Victoria kumekuwapo vifo kadhaa vitokanavyo na kupigwa na radi.
Radi ikimpiga mtu inaleta majeraha kama mtu...
HALI ya usalama mkoani Pwani imeimarika kwa asilimia 99 kutokana na Polisi kudhibiti uhalifu. Kamanda wa Polisi mkoani humo, Jonathan Mshana alisema jana kuwa hivi sasa vyombo vya dola vinaendelea...
As things seem, His Excellency is determined to build a state of the Art International Airport in Bagamoyo (his hometown)and surprisingly none of our so called Technical experts at the TCAA is...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Mawaziri na Naibu Mawaziri wajiepushe na utoaji wa matamko yasiyotekelezeka ili kuepuka mikanganyiko Serikalini.
Ametoa kauli hiyo jana jioni wakati...
It all started one lazy Sunday afternoon
in a small town near Toronto in Canada.
Two school-going friends had a crazy idea.
They rounded up three goats from the neighborhood and painted the...
Mimi hapa sijamwelewa Prof. Kitila Mkumbo (PhD). Ina maana kitu wanachoulizwa DAWASCO lazima Katibu Mkuu wizara ya maji akijibie? Hii haiko Sawa, sasa Katibu Mkuu ukijibu kitu ambacho kiko juu ya...
Habari zenu ndugu zangu? Natumai wote ni wazima na mnaendelea kujenga Tanzania ya viwanda. Moja kwa moja niende kwenye mada husika.
Ni hivi mimi ndugu yenu na aunt yenu mpendwa nataka niende...
Ujenzi wa uwanja wa ndege wa Chato ukiendelea kwa kasi,ambapo mpaka sasa uwanja huo umekamilika kwa asilimia 63.Kwa mujibu wa Meneja wa Tanroads Mkoa wa Geita.
Mhandisi Haruna Senkuku alimweleza...
11/7/17
Justin Sandefur
Views from the Center
Data & Transparency, Data, Transparency, Africa
As economic indicators deteriorate, the Tanzanian government has jailed an opposition leader for...
Wadau
Mhesh Rais Dr John Magufuli Amewapongeza Wataalamu Wa Ujenzi Wa TANROD Kwa Kuokoa Zaidi Ya Tshs Bilioni 4 Katika Ujenzi Wa Barabara Ya Lami Ya Kutoka Kyaka -Bugene.Barabara Hiyo Ina Urefu...
Kwa wale watambuzi wameshaelewa maana ya "miradi ya tembo mweupe" kwa kifupi miradi kama hii huwa haina tija kwa wananchi na mara nyingi huwa haikidhi malengo tarajiwa.
Uwanja umeongezwa njia ya...
Katika hali ya isiyo ya kawaida, mwanafunzi wa darasa la tano katika shule ya Msingi Ibondo, Kata ya Rudete, Wilayani Geita, mwenye umri wa miaka 13 amejifungua kabla ya wakati katika choo cha...
Watu watatu wamefariki na wengine zaidi ya 120 wamelazwa kwenye vituo mbalinbali vya utoaji huduma kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu katika Wilaya za Kigoma na Uvinza mkoani Kigoma...
Lori aina ya fuso asubuhi hii limepata ajari baada ya kufeli breki na kudondoka katikati ya daraja na kuziba njia,kwa hiyo abiria wanaotokq dar na morogoro kuelekea kasikazini na ale wanaotoka...
Pasko Mayalla kama mwandishi yuko Kagera kuungana na waandishi wenzake kwenye mkutano na mkuu.Ref ATCL, tuache siasa kwenye usafirishaji abiria. It's not fair kuchelewesha ndege for 45 min...