Pascal Mayalla yuko Kagera, BAVICHA tegemeeni swali lolote

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,722
Reaction score
21,959
Pasko Mayalla kama mwandishi yuko Kagera kuungana na waandishi wenzake kwenye mkutano na mkuu.Ref ATCL, tuache siasa kwenye usafirishaji abiria. It's not fair kuchelewesha ndege for 45 min!, kumsubiri waziri!
Majira kama haya mwaka jana ndugu Pasko aalikuwa shujaa kwa swali zito alilomuuliza mkuu ambalo hata mhariri mtendaji wa Mwanahalisi au Tanzania Daima walishindwa kumuuliza mkuu
Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais
Tofauti na Bavicha wanavyofikiria ,mtu ambaye haandeshwi kwa remote control ,Pasko vilevile huwa anafagilia mkuu ambapo huwa anapatia na hapa ndio tatizo hutokea,nyuzi kadhaa za pasko anapopongeza huwa zinakuwa na povu kutoka Ufipa kwamba jamaa anahitaji uteuzi na blahblah nyingi.
Tujitahidi kumeza vitu vichungu kama tunavyomeza vitu vitamu
 
Mku nadhani haiwezekani ukapendwa na watu wote wapo watakaouona mchango wako na wengine wakaukataa tuu bila kuwa na hoja mbadala.
 
Ungejua tulivyofurahi kumpata PhD holder kama rais pamoja na zile ahadi za kampeni. Ni bwana mkubwa mwenyewe aliyetufanya tuvae miwani na kuanza kumtathmini kwa mara ya pili.

Unaona ni haki kabisa kiongozi wa nchi aruhusu booms bomoa kote lakini Mwanza wasiguswe hata kama wana makosa?
 
Pasco aliambiwa jina Mayala lina maana ya njaa, hivyo swali lake juu ya Rais Kuwa Juu ya Mihimili yote ni kwa sababu ya njaa.

Ila pia sikumbuki alijibiwa nini kuhusu kuzuia mikutano ya kisiasa ambayo iko kikatiba.
 
Ungejua tulivyofurahi kumpata PhD holder kama rais pamoja na zile ahadi za kampeni. Ni bwana mkubwa mwenyewe aliyetufanya tuvae miwani na kuanza kimya gari mara mbili mbili.

Unaona ni haki kabisa kiongozi wa nchi aruhusu booms bomoa kote lakini Mwanza wasiguswe hata kama wana makosa?
Eti kisa walimchagua....tukisema HUYU jamaa hakuandaliwa tunaonekana wajinga....
 
Pasko Mayalla kama mwandishi yuko Kagera kuungana na waandishi wenzake kwenye mkutano na mkuu.Ref ATCL, tuache siasa kwenye usafirishaji abiria. It's not fair kuchelewesha ndege for 45 min!, kumsubiri waziri!
Majira kama haya mwaka jana ndugu Pasko aalikuwa shujaa kwa swali zito alilomuuliza mkuu ambalo hata mhariri mtendaji wa Mwanahalisi au Tanzania Daima walishindwa kumuuliza mkuu
Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais
Tofauti na Bavicha wanavyofikiria ,mtu ambaye haandeshwi kwa remote control ,Pasko vilevile huwa anafagilia mkuu ambapo huwa anapatia na hapa ndio tatizo hutokea,nyuzi kadhaa za pasko anapopongeza huwa zinakuwa na povu kutoka Ufipa kwamba jamaa anahitaji uteuzi na blahblah nyingi.
Tujitahidi kumeza vitu vichungu kama tunavyomeza vitu vitamu
As long as there is gross violation of basic human rights in the country, whatever good you might pretend to do, goes down by the trench!
 
Kasema Mwanza na Bukoba hata kama ni mtoni limeni, mafuriko uakibeba mtafidiwa, tena anawapa na hela kabisa waliokutwa wanalima kwenye vyanzo vya maji.
Kitu ambacho haelewi huyu ndugu yetu kwamba hata kule ambako hajapata kura nyingi bado kunaw waliompigia kura na huko ambako anakura nyingi lakinin bado kuna wapinzani

yeye alipaswa aongee kama raisi kauli zake zikipaswa kujenga au kuimarisha umoja wa watanzania
 
Back
Top Bottom