Ujenzi wa uwanja wa kisasa wa ndege Chato unaendelea vizuri


M

Mantombazane

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2014
Messages
461
Likes
157
Points
60
M

Mantombazane

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2014
461 157 60
Ujenzi wa uwanja wa ndege wa Chato ukiendelea kwa kasi,ambapo mpaka sasa uwanja huo umekamilika kwa asilimia 63.Kwa mujibu wa Meneja wa Tanroads Mkoa wa Geita.

Mhandisi Haruna Senkuku alimweleza Mkuu wa Mkoa Geita kuwa uwanja huo una Run way ya Kilometa 3 ambapo hadi kukamilika mradi huo utagharimu kiasi cha shilingi Bilioni 39.

23031717_403430250076124_1517926547635102681_n.jpg?oh=1832b5a08a9da6a0b0fadaf078136e42&oe=5AA7FF9A
 
The Monk

The Monk

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2012
Messages
12,188
Likes
17,558
Points
280
The Monk

The Monk

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2012
12,188 17,558 280
Kitendo cha Bunge kukaa kimya na kukubali ujenzi wa hichi kiwanja cha ndege, imetupa ujumbe mzito sana sie wananchi. Inamaana kweli wachumi wote, washauri, watunga sera, wapitisha bajeti, wameshindwa kabisa kutetea kiuchumi faida na hasara za kujenga huu uwanja Chatto?
 
Liwagu

Liwagu

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Messages
1,535
Likes
1,188
Points
280
Age
40
Liwagu

Liwagu

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2017
1,535 1,188 280
Hivi nikweli kunauwanja wa ndege unajengwa chato?????.
 
Magonjwa Mtambuka

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Messages
15,980
Likes
9,304
Points
280
Magonjwa Mtambuka

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2016
15,980 9,304 280
Safi sana. Hongera serikali ya JPM.
 
Automata

Automata

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2015
Messages
1,859
Likes
1,640
Points
280
Automata

Automata

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2015
1,859 1,640 280
Ant-Magufuli wanao ongozwa na Zitto Kabwe kwa sasa watapo isikia habari hii lazima wapasuke
 
Rweye

Rweye

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Messages
16,175
Likes
3,951
Points
280
Rweye

Rweye

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2011
16,175 3,951 280
Hivi Budget ya huu Uwanja ilipitishwa na Bunge?
Kwamba kila bajeti ikapitishwe na bunge? Utakuwa ulikaririshwa na mwalimu wako wa Civics na si kosa lako
 

Forum statistics

Threads 1,235,078
Members 474,351
Posts 29,211,427