Kipindupindu chaua watatu Kigoma, 120 walazwa

Kipindupindu chaua watatu Kigoma, 120 walazwa

kirerenya

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
1,698
Reaction score
2,262
Watu watatu wamefariki na wengine zaidi ya 120 wamelazwa kwenye vituo mbalinbali vya utoaji huduma kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu katika Wilaya za Kigoma na Uvinza mkoani Kigoma.

HabariLEO.
 
Back
Top Bottom