Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Arusha. Madaktari wa Mifugo wa Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro(NCAA) kwa kushirikiana na wataalam wa Taasisi ya wanyamapori (TAWIRI) wametumia saa matatu kumfanyia upasuaji simba ambaye ni...
7 Reactions
49 Replies
8K Views
Habari JF Maisha ukiyatafakari unaweza shikwa na mfadhaiko daima. Liko jambo kila nikilitafakari mwisho wake huniachia maswali mengi. Jambo hilo ni UKWELI Nenda kaskazini, magharibi au rudi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hiki ni moja ya kisu hatari zaidi duniani kuwahi tengenezwa!. Jina lake linatokana na kikosi cha kijeshi cha Austria kilichoundwa kipindi cha vita ya kwanza ya dunia (ww1). Jagdkommando...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari ya jumapili mabibi na mabwana. Leo ni siku nyingine ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia uzima. Napenda kuchukua wasaa huu kuwashirikisha ujumbe wa leo kutoka katika maandiko...
6 Reactions
28 Replies
6K Views
Wakuu habari, Ninaomba kama kuna mtu anaejua sehemu wanapouza zile sigara za kizungu marufu kama cigar naomba aniambie kuna best angu wa kizungu anazitaka. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
12 Replies
8K Views
Imekuwa ni kawaida katika jamii kuwaona watu ambao hujiita askari shirikishi Wakifanya kazi yakuwakamata raia katika mitaa ya Dar Es salaam na maeneo mengineyo katika nchi ya Tanzania. Pamoja na...
0 Reactions
2 Replies
830 Views
Kuna chuo kimoja MAARUFU cha afya kipo maeneo ya kimara,kila mwezi kinatangaza NAFASI za kazi kwenye tv ususan star Tv kwa ajili ya wakufunzi najiuliza watu huwa hawaaply? Nimeona leo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
UMESHAWAHI KUFANYA HILI JARIBIO.? Mchukue chura then muweke kwenye chombo ambocho ni good conductor of heat kikiwa na maji ndani yake,then anza kuchemsha maji akiwemo na chura ndani yake...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwanza nianze kwa kuwapongeza kutoka na jinsi mnavyo i challenge serikali ya awamu ya tano, challenge hizi ndizo zinazomfanya mkuu asijisahau katika kuwatumikia watanzania. Napenda sana mkuu...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Tukiwa tumebakiza miezi michache kuumaliza mwaka 2017 hebu tuambiane ni kitu gani muhimu umekifanya mwaka huu. Maana kila mwaka unapoanza watu huwa tuna malengo fulani ya kufanya kabla mwaka...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Asubui hii kwenye matembezi nkmekutana na hili Tangazo kuhusu utalii. Nimefarijika ila kuna jitihada zaidi zinahitajika, Kenya wanauzwa kama ndio Main meal sisi kama chachandu. Je inawezekana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mobutu nae alijidai kupenda sana kijijini kwao mpaka akaamua kujenga ikulu ndogo kijijini kwao pamoja na kiwanja cha ndege. Ikulu hizi sasa hivi zimetelekezwa na zinajulikana kwa jina maarufu kama...
8 Reactions
42 Replies
8K Views
Uwanja wa ndege wa KILIMANJARO umekuwa ukitumika kuhujumu nchi yetu kwa kusafilisha TWIGA, FARU, KENGE n.k kwa njia za magendo kwenda nchi za nje, ni kwa nini serikali isiufunge na kuubomoa ili...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kama ilivyo mwiko kwa mwanaume wa Kiafrika aliyeoa kuingia jikoni,basi kuna baadhi ya vitu mwanamke hatakiwi kufanya katika maisha yake. Wataalam wanashauri mwanamke anashauriwa hasiendeshe gari...
12 Reactions
156 Replies
18K Views
Serikali imesema baadhi ya vifaa tiba vya matibabu ya mionzi vitaanza kuzalishwa nchini baada ya kuingia makubaliano ya ushirikiano na Kampuni New Soft ya China. Baadhi ya vifaa hivyo ni...
0 Reactions
1 Replies
941 Views
"Eti, ikitokea watu wawili wamefunga ndoa ya KIKRISTO pindi wakiwa wakristo, halafu baada ya muda wote wawili wakaamua kuslimu na kuwa waislamu. Je watafunga tena ndoa ya kiislamu? Darasa huru...
5 Reactions
54 Replies
8K Views
Awamu tano iliingia madarakani kwa kufanya maamuzi makubwa mwanzoni na kuonyesha muelekeo wa nchi kiutendaji na kimaamuzi na watumishi wengi waliona kuwa uongozi huu unaweza kuwa mkombozi mkubwa...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka wananchi wasikubali kupatiwa huduma na mtu wanayemtilia shaka. Idara ya Huduma na Elimu kwa Mlipakodi ya TRA makao makuu imetoa taarifa hiyo kwa umma...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau niwatakieni kheri ya Jumapili, Naamini wengi mmesoma habari za yule jemedari mkuu aliyepata sifa kubwa za uhodari na ujasiri na aliyeongoza jeshi kubwa sana miaka hiyo. Kwa bahati mbaya...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu habari za leo. Kichwa kinajieleza, sasa nataka kuvunja rekodi hii, naomba kufahamu A to Z, nikitaka kwenda Mwanza toka Dar, naanzaje?
2 Reactions
153 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…