Naomba Mrejesho Kuhusu Mabillion waliyopaswa kulipwa Mwana FA na AY! Dhidi ya Tigo tz


kimdundulusi

kimdundulusi

Member
Joined
Aug 11, 2017
Messages
20
Likes
41
Points
15
kimdundulusi

kimdundulusi

Member
Joined Aug 11, 2017
20 41 15
Wakuu habari za mida hii,

Najua wengi mmechoka na mihangaiko ya hapa na pale katika kutafuta mkate wakila siku, huku Nchi ikiwa na vituko visivyoisha kila kukicha. Lakini mnashukuru siku zinakwenda.

Samahani kama ntakuwa nimeingilia habari zinazotrend nchini hivi sasa hasa hii ya kuachiwa kwa Dkt Luis. Na kinachoendelea huko Zimbabwe.

Naomba kuuliza hivi watajwa hapo juu wameshalipwa ule mtonyo kama ilivyoamriwa na Mahakama kuu (rufani) dhidi ya Kampuni ya Tgo.? Au ndo wameamua kuupokea kimya[HASHTAG]#Unapo[/HASHTAG] Hamia Pahala unahitaji Pahala Pa Kukaa.
 
chibalangunamchezo

chibalangunamchezo

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Messages
1,492
Likes
2,552
Points
280
chibalangunamchezo

chibalangunamchezo

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2017
1,492 2,552 280
Ngoja waje.
 
Duduwasha

Duduwasha

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Messages
5,163
Likes
2,243
Points
280
Duduwasha

Duduwasha

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2010
5,163 2,243 280
Nikisikia habari yeyote ya Dr. Shika lazima nicheke kwanza...huyo Mzee Mungu ampe maisha marefu ameweza ziba pengo la marehemu Mtikila r.I.p 2020 sijui atajiunga na chama gani
 
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Messages
30,993
Likes
6,401
Points
280
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2011
30,993 6,401 280
Mkuu....Unataka ukawakope nini?????
 

Forum statistics

Threads 1,213,860
Members 462,337
Posts 28,493,048