Mwambieni Lau Masha

Victor RM

Victor RM

New Member
Joined
May 1, 2017
Messages
3
Likes
3
Points
5
Victor RM

Victor RM

New Member
Joined May 1, 2017
3 3 5
Mwambieni Lau Masha sisi Chadema hatukuwahi kuunga mkono wala kuhubiri utekaji watu( Ben-Rabiu Wa Saanane ),uuwaji(coco beach,mto ruvu kule bagamoyo)/upigaji watu risasi mchana kweupe na watendaji wa haya kutopatikana hadi leo na hutujui wapi na nini kimefanyika kuhusu hawa ndugu zetu na wala hatukuwahi kusema kuwa tutaenenda kinyume na katiba ya Taifa hili

Nendeni mkamwambie Lau Masha kuwa Chadema hatukuwahi hata siku moja kukaa majukwaani na kuwaambia waTanzania kuwa tutakuwa na double standard katika taifa hili na kuona baadhi ya watanzania wenzetu wanafaa kufukuza kazi tena kwa kudhalilishwa na wengine hata wasio na vyeti na majina sio yao tukasema tutawalinda

Tena mumkumbushe kabla hajafika Chadema na baada ya kuja na sasa ameondoka kamwe hatukuwahi kusema kuwa tutatumia fedha za walipa kodi kufanya matumizi pasipo kuidhinishwa na bunge ambalo lipo kuwawakilisha wananchi,

Kamwe hatukuwahi kusema popote kuwa tutakopa kwa wahisani pasipo bunge na watanzania kufahamu na kujua hizo fedha zimekopwa kwa matumizi gani katika Taifa letu

Mwambieni sisi tunaihubiri demokrasia ya kweli tena yenye tija na manufaa kwa kila mtanzania akiwamo yeye mwenyewe.

Namkumbusha Lau hatukuwahi kusema popote kuwa tutazuia uhuru wa habari na kujieleza(Freedom of speech) popote katika Chadema labda kama ni maono yake ya mika hamsini ijayo japo sijaona viongozi wa namna hii katika Chadema hata kwa miaka mia ijayo

Hatukuwahi kusema kuwa kama kiongozi wetu akiwa kiongozi atakataa kukosolewa ili afungie na kufuta baadhi ya magazeti yanayomkosoa

Tena akumbushwe kuwa katika uwepo wake kabla na baada hakuna sehemu yoyote tuliwahi kusema tutazuia mikutano ya vyama vya siasa kama ilivyo sasa mwambieni na mumkumbushe yote hata yale mengi aliyoaaandika katika barua yake

Yeye aondoke tu kama alivyokuja hatukumuita na asidhani kama tumemfukuza ni dhamira yake na asitudanganye kwa masuala ya kitoto namna hiyo labda wajinga tu ndio wanaoweza kumuelewa

Na maovu mengine mengi kama kuzuia bunge live,upatikanaji wa katiba mpya,wafanya kazi kutoboreshewa maslahi yao na kupandishwa madaraja na kuwafanya matajiri kuwa masikini pia hatuwahi kuwaambia watanzania haya
Tanzania Kwanza
 
busy bees

busy bees

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Messages
2,263
Likes
1,313
Points
280
Age
40
busy bees

busy bees

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2016
2,263 1,313 280

"TUNAIHUBIRI DEMOKRASIA YA KWELI" .... Kiongozi una hakika na hilo la kuhusu "demokrasia ya kweli ndani ya CHADEMA? .... Ukinijibu nitakupa challenge
 
Mberoya

Mberoya

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2017
Messages
1,194
Likes
692
Points
280
Mberoya

Mberoya

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2017
1,194 692 280

Kwani wewe una uhakika na democrasia ya kweli katika ccm? Jibu mwenyewe kuhusu ccm alafu toa challenge!
 
J

joyce mngongo

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2016
Messages
892
Likes
950
Points
180
Age
58
J

joyce mngongo

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2016
892 950 180
Alifuata cheo chadema alipo ona vyote vime enea watu,akaona hana maana upande huu,bora atoke.nenda salama mwanakwetu ! Kajaribu huko mahameni ulikokua.
 
Mberoya

Mberoya

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2017
Messages
1,194
Likes
692
Points
280
Mberoya

Mberoya

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2017
1,194 692 280
"TUNAIHUBIRI DEMOKRASIA YA KWELI" .... Kiongozi una hakika na hilo la kuhusu "demokrasia ya kweli ndani ya CHADEMA? .... Ukinijibu nitakupa challenge
Waswahili wanasema "nyani haoni kundule" ndiyo wewe ambaye huoni kwamba utawala wa ccm ulishauwa democrasia!
 
Mberoya

Mberoya

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2017
Messages
1,194
Likes
692
Points
280
Mberoya

Mberoya

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2017
1,194 692 280
Alifuata cheo chadema alipo ona vyote vime enea watu,akaona hana maana upande huu,bora atoke.nenda salama mwanakwetu ! Kajaribu huko mahameni ulikokua.
Yule jamaa anapenda ukubwa na kunyenyekewa kama shetani. Chadema si mahala pa mashetani!
 
Magonjwa Mtambuka

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Messages
16,821
Likes
9,943
Points
280
Magonjwa Mtambuka

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2016
16,821 9,943 280
Makamanda imewauma kweli kweli.
 
busy bees

busy bees

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Messages
2,263
Likes
1,313
Points
280
Age
40
busy bees

busy bees

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2016
2,263 1,313 280
Waswahili wanasema "nyani haoni kundule" ndiyo wewe ambaye huoni kwamba utawala wa ccm ulishauwa democrasia!
Nimeipokea challenge ya kutukanwa "nyani haoni kundule" wala sitakujibu kwa tusi kama ulivyofanya wewe .....

Swali: Kama utawala wa ccm ulishaua demokrasia .... je hiyo DEMOKRASIA YA KWELI NDANI YA CDM kama alivyotoa mleta mada ILIZALIWA ama ILIFUFULIWA lini? .... na ni nani aloifufua tena toka ULIMWENGU WA WAFU?
 
P

phill

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Messages
1,347
Likes
346
Points
180
P

phill

JF-Expert Member
Joined May 25, 2011
1,347 346 180
Chadema wanatakiwa kuwa makini sana siasa za kipindi hiki la sivyo mhhh
 
Mberoya

Mberoya

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2017
Messages
1,194
Likes
692
Points
280
Mberoya

Mberoya

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2017
1,194 692 280
Nimeipokea challenge ya kutukanwa "nyani haoni kundule" wala sitakujibu kwa tusi kama ulivyofanya wewe .....

Swali: Kama utawala wa ccm ulishaua demokrasia .... je hiyo DEMOKRASIA YA KWELI NDANI YA CDM kama alivyotoa mleta mada ILIZALIWA ama ILIFUFULIWA lini? .... na ni nani aloifufua tena toka ULIMWENGU WA WAFU?
Mleta maada alishatoa maelezo yaku eleweka jinsi democrasia ilivyo marehemu, ilishazikwa na ccm! Rudia kusoma ukielewa rudi hapa.

By the way, nyani kundule siyo tusi! Maana yake hujitambui.
 
busy bees

busy bees

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Messages
2,263
Likes
1,313
Points
280
Age
40
busy bees

busy bees

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2016
2,263 1,313 280
Kwani wewe una uhakika na democrasia ya kweli katika ccm? Jibu mwenyewe kuhusu ccm alafu toa challenge!
I'm not good at arguments that lead to NOWHERE .... ningedhani tungejikita kujadiri HOJA FIKILISHI zilizomo ktk thread ya mtoa mada instead of diverging ..... nimehoji juu ya DEMOKRASIA YA KWELI NDANI YA CDM maana imeelezwa na mtoa mada
 
busy bees

busy bees

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Messages
2,263
Likes
1,313
Points
280
Age
40
busy bees

busy bees

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2016
2,263 1,313 280
Kwani wewe una uhakika na democrasia ya kweli katika ccm? Jibu mwenyewe kuhusu ccm alafu toa challenge!
I'm not good at arguments that lead to NOWHERE .... ningedhani tungejikita kujadiri HOJA FIKILISHI zilizomo ktk thread ya mtoa mada instead of diverging ..... nimehoji juu ya DEMOKRASIA YA KWELI NDANI YA CDM maana imeelezwa na mtoa mada
 
busy bees

busy bees

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Messages
2,263
Likes
1,313
Points
280
Age
40
busy bees

busy bees

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2016
2,263 1,313 280
Yule jamaa anapenda ukubwa na kunyenyekewa kama shetani. Chadema si mahala pa mashetani!
Hivi pana mh. apendae UKUBWA na KUNYENYEKEWA kumpita mh. Eddo?
 
Mberoya

Mberoya

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2017
Messages
1,194
Likes
692
Points
280
Mberoya

Mberoya

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2017
1,194 692 280
I'm not good at arguments that lead to NOWHERE .... ningedhani tungejikita kujadiri HOJA FIKILISHI zilizomo ktk thread ya mtoa mada instead of diverging ..... nimehoji juu ya DEMOKRASIA YA KWELI NDANI YA CDM maana imeelezwa na mtoa mada
You want to talk about democracy that doesn't exist. How can Chadema practice something that is technically forbidden? The right question to ask is whether ccm allows it!?
 
busy bees

busy bees

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Messages
2,263
Likes
1,313
Points
280
Age
40
busy bees

busy bees

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2016
2,263 1,313 280
Mleta maada alishatoa maelezo yaku eleweka jinsi democrasia ilivyo marehemu, ilishazikwa na ccm! Rudia kusoma ukielewa rudi hapa.

By the way, nyani kundule siyo tusi! Maana yake hujitambui.
Rejea post ya mtoa mada PARAGRAPH YA 5 .... mistari miwili ya kwanza .... soma kwa makini ukiwa umetulia .... UBISHI si mzuri ..... asante pia kwa kuniambia SIJIELEWI
 
busy bees

busy bees

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Messages
2,263
Likes
1,313
Points
280
Age
40
busy bees

busy bees

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2016
2,263 1,313 280
You want to talk about democracy that doesn't exist. How can Chadema practice something that is technically forbidden? The right question to ask is whether ccm allows it!?
After thoroughly reading your fellow's original post at the 5th paragraph the 1st and 2nd lines .... then be HONEST to ask the same question to that fellow of yours .... the poster of the ORIGINAL POST
 
Mberoya

Mberoya

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2017
Messages
1,194
Likes
692
Points
280
Mberoya

Mberoya

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2017
1,194 692 280
After thoroughly reading your fellow's original post at the 5th paragraph the 1st and 2nd lines .... then be HONEST to ask the same question to that fellow of yours .... the poster of the ORIGINAL POST
Yes mtoa maada hajakosea alivyo andika kuwa "Mwambieni sisi tunaihubiri demokrasia ya kweli tena yenye tija na manufaa kwa kila mtanzania akiwamo yeye mwenyewe."

Yesu alipokuwa anahubiri, mamlaka ya kirumi na mafarisayo walimpinga na hawakutaka kumsikiliza, lakini hiyo haikuzuia yeye kuto kuhubiri ukweli. Sawa na CDM wao lazima wahubiri democrasia mpaka mwisho ingawa ccm haitaki!

Hivi wewe unafikiri democrasia ya kweli hipo ccm?
 
Mberoya

Mberoya

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2017
Messages
1,194
Likes
692
Points
280
Mberoya

Mberoya

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2017
1,194 692 280
After thoroughly reading your fellow's original post at the 5th paragraph the 1st and 2nd lines .... then be HONEST to ask the same question to that fellow of yours .... the poster of the ORIGINAL POST
Nimekuuliza swali kwamba how can CDM practice democracy that is technically forbidden? Sina maana kwamba it's not being practiced by CDM!
 
busy bees

busy bees

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Messages
2,263
Likes
1,313
Points
280
Age
40
busy bees

busy bees

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2016
2,263 1,313 280
Nimekuuliza swali kwamba how can CDM practice democracy that is technically forbidden? Sina maana kwamba it's not being practiced by CDM!
Naona umeshindwa kunielewa ama wafanya makusudi .... let me GIVE UP and you be THE WINNER
 
Forum statistics

Threads 1,249,765
Members 481,045
Posts 29,711,042