Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Paul Makonda amesema hivi karibuni ataandaa tamasha la kuwakaribisha wanafunzi wapya wa mwaka wa kwanza wa vyuo vikuu jijini Dsm.
Source TBC habari!!
Hawa jamaa huwa wako siriasi sana linapokuja suala la usalama wao na ndio maana kila askari ana bastola yake kiunoni.
Na ukiwa mkaidi ndo yanakukuta kama yaliyomkuta huyu dogo hapa
Kabla ya...
Salaam wakuu,
Binafsi huwa najiuliza hivi katika kufanya maamuzi serikali huwa ina angalia faida na hasara?
Huwa inakuwa wapi wakati watu wanajenga nyumbaaa sehemu ambazo hazistahili?wanawaacha...
Halotel baada ya kusifiwa kua na huduma nzuri lakini saizi ni tofauti kabisa spidi yao ya intanet imepungua sana afu wanakula Mb unaweza sema simu imetoboka znavujia chini mwanzo Mb 600 nilikua...
Wana jamii forum wanzangu habarini za saizi
Kama swali swali linavyo jieleza hapo juu nimekua nkijiuliza sama maswali mengi kuhusiana na lulu.
Ili kupata jibu nikajaribu kuuliza watu wengi tena...
Poleni na majukumu.Wakuu naamini na inapendeza zaidi kuombeana sisi kwa sisi muda na wakati wowote ili wenzako wafanikiwe na wakifanikiwa wao Mungu hufungua milango ya baraka na kwako...
Ulikuwa kaka, Rafiki, patner, kiongozi na yote
Tarehe Ya jana 04th October 2017 ulivuta pumzi yako ya mwisho hapa duniani. Tuanakukumbuka kwa misimamo yako isiyoyumba bila kujitakia umaarufu...
Wakuu kuna kahela hapa nataka ongeza wigo kdogo,nmepitapita yard kadhaa naona ndinga bei inaridhisha,ila bado naombea ishuke zaid,nimekuta spacio model mpya inaenda had 10.5m,yard nying...
Wandugu, poleni na maangaiko ya maisha na shughuri nyingi za mwisho wa juma.
Tupo katika kipindi chenye changamoto nyingi sana, watu wenye hekima wanapungua sana, ambao kama wangekuwepo...
Kama mnavyojua Mh rais aliwaaidi watumishi nchini kuwa kuanzia mwezi November zaidi ya watumishi 59,000 watapandishwa vyeo ikiwa ni pamoja na annual increment. Nawasihi watumishi wote nchini kaa...
Kumekuwepo na dhana kuwa Almasi haivunjiki wala kupasuka, na hii ndo ilipelekea kuwepo msemo wa "Diamonds are Forever"
Sasa Je ni kweli Almasi haiwezi kuharibiwa ?
1. Ubinafsi.
Sumu mojawapo kubwa katika biashara na mafanikio kwa ujumla ni ubinafsi. Haitakiwi kuwa mbinafsi unapokuwa kwenye biashara, inatakiwa kutoa ushirikiano na kwa wengine ili mafanikio...
Katika hali isiyo ya kawaida huyu dogo alikuwa anaoga kwenye karai la maji ambalo limebandikwa jikoni likichemka.
Mwishoni dogo katoka anapiga kelele mbaya.
Wahadhiri wa Chuo kikuu cha Mtakatifu Augustine tawi la Mtwara hawajalipwa mishahara yao kwa muda wa miezi minne sasa kwa kile kinachoelezwa mmiliki hana fedha kwa sasa.
Wanazuoni wameshauri kubadilishwa kwa mfumo wa elimu ulio hivi sasa ili kuendana na sera ya Tanzania ya viwanda kwa kuwajengea uwezo zaidi wanafunzi walioko katika vyuo na shule mbalimbali hapa...
Wafanyabiashara wa soko la Manzese manispaa ya Morogoro wameandamana na kuvamia lililokuwa soko kuu la manispaa hiyo kushinikiza uongozi wa manispaa kuwafukuza baadhi ya wafanyabiashara...
Nimejibibiwa hivyo huko mtandaoni
Nimeenda kwa mawakala wao wanadai kadi zimewaishia nchi nzima
Mpaka walete nyingine hivyo hawawezi kuuza visimbusi vyao mpaka siku kadi zitakapopatikana
Swali jee...
Kuna tatizo lilinipata ambalo mizizi yake ni kutokana na mfumo wa maisha ya sasa yaliyosababishwa na huyu ndugu yetu wa Chato.
Kwanza kabisa Mimi naamini sana Mungu kwakuwa nilipitia malezi hayo...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) imeokoa zaidi ya shilingi Bilioni 5 ambazo zingetumika kusafirisha wagonjwa nje ya nchi kufuata matibabu.
Hayo...