Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Note: I am not good at writing stories. Maelezo yanaweza kukosa mpangilio. Kufanya political coverup ninafikiri hii ndio kazi ya msingi ya kisiasa ya waziri ya mambo ya ndani ya nchi. Hii sio...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Huku ni kupoteza hela za walipakodi kama jitu limejiuzulu jimbo libaki tu hivyohivyo kwanza kuna viongozi wengine wawakilishi sio lazima mbunge awepo
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Usaliti alioufanya Tundu Lisu dhidi nchi yangu kwa maslahi yake binafsi na wachahe wa chadema yamerudi na kuimaliza chadema, sasa kwa mara ya kwanza ktk Historia ya chadema watu wanahama kwa spidi...
2 Reactions
4 Replies
871 Views
Habarini wana JF, Napenda kujua kuhusu gharama na kampuni zinazojihusisha na usafirishaji wa samaki wabichi kutoka Mwanza hadi Dar. Ahsanteni
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Nimealikwa MLIMANI TV leo usiku kuanzia saa 2.30 usiku kwenye kipindi kinachoitwa Keki ya Taifa. Na pia nimealikwa MAGIC FM kesho asubuhi kuanzia saa 1.30. Pamoja na mambo mengine, nitaongelea...
8 Reactions
66 Replies
6K Views
Wadau Waziri wa Afya Mh. Ummy Mwalimu yupo Live TBC katika kipindi cha "TUNATEKELEZA" Mada: * Mikakakati wa Sekta ya Afya katika Kupambana na Adui Maradhi* Tafadhali mjulishe mwenzako ili...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF. Mwanamke moja mkoani kagera amemuua na kumzika mwenzie shambani walipokuwa wakifanya kazi akidai anapendwa zaidi na mume kuliko yeye. Bibi mkubwa alimuua bibi mdogo na muuaji...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hizi pesa zilizookotwa Airport zitumike kutengeneza katiba mpya. Walisema hawana pesa lakini Mungu katuona kadondosha zigo la pesa ambazo zinatosha kupata katiba mpyaa na chenji ikabaki. Lile...
0 Reactions
1 Replies
833 Views
Pengine unaweza kuukataa ukweli huu hasa kwa kutazama maisha na biashara za wana Kilimanjaro hasa wa jamii ya Wachaga waliotapakaa karibu kila eneo la nchi hii. Lakini ukweli ni kuwa Mkoa huu...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Akizungumza na waandishi wa habari mtu wa karibu na askari hao amesema kuwa chanzo cha ugomvi wa askari hao ni wivu wa mapenzi ambapo marehemu pamoja na mtuhumiwa ambaye ametambulika kwa jina la...
2 Reactions
49 Replies
11K Views
Vifo vya maaskari wetu trh 8 Dec huko Congo yamenifanya nikumbuke matumizi ya alama za taifa kwa lengo la maombelezo ya pamoja kama Taifa,nimetafakari kwa muda mrefu sijaona bendera ya Taifa...
0 Reactions
3 Replies
994 Views
Kwenye maisha ulivyokuwa jana, ulivyo leo na utakavyokuwa kesho vinaweza kuwa vitu vitatu tofauti sana. Jana yako inaweza ikawa nzuri sana lakini kesho ikaharibika kutokana na umejifunza nini na...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
Amani iwe kwenu. Kama heading inavyo jieleza, ukienda kununua mbuzi Vingunguti, au Mazizini. Utawaona madalali wamewasimamisha mbuzi kwa kuwashika miguu ya mbele kama wanachezanao bluzz, don't...
2 Reactions
3 Replies
679 Views
Utafiti uliofanywa na taasisi ya TWAWEZA katika wilaya Kumi na moja nchini umeonyesha kwamba motisha ya fedha kwa walimu wanaofanya vizuri katika ufundishaji inaongeza viwango vya ufaulu kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akisalimiana na wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania (TRL), leo katika Stesheni ya Mombo, mkoani Tanga, baada ya kukagua...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hili linatokea na hata mimi huwa nalifanya, ila nimejiuliza na nashindwa kuelewa kwanini huwa tunatema mate baada ya kusikia harufu mbaya. Anayejua anijuze tafadhali...!!!
1 Reactions
11 Replies
4K Views
CHADEMA Tulichokosea Ni Hiki..... Kwanza ieleweke kuwa, siku zote chama cha siasa objective yake kuu huwa ni kushika dola. Na katika mazingira haya, mbinu yoyote inaweza kutumika iwe halali au...
0 Reactions
9 Replies
943 Views
Wadau Jerusalem Embassy Act of 1995 ni Sheria iliyopitishwa na Serikali ya Marekani tarehe 23 Oktoba 1995. Madhumuni ya kuipitisha Sheria hjyo ni kuanzisha na kugharamia mpango wa kuhamisha...
0 Reactions
2 Replies
650 Views
Natumaini hamjambo wadau wa Jamii forum, Napenda leo tuelimishane kuhusu symbol ya pesa ya Kitanzania, symbol ambayo inatambulika kisheria ndani na nje ya nchi ni ipi kati ya hizi mbili(Tshs na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hizi Ndio Picha Ambazo hukuziona Siku ya Maadhimisho ya Uhuru ya "56"
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…