Tanzania ni Taifa la kishirikina,tumrudie Mungu wetu.

My Son drink water

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,233
2,000
Hata Kama ukweli unauma lakini ni lazima usemwe tu.
Ndo taifa lililoongoza duniani kwa kuua watu wenye ulemavu wa ngozi kwa imani za kishirikina eti ukipata mwili wa albino unatajirika wakati ni uongo mtupu, utajiri huja kwa kufanya kazi kwa bidii na kumtegemea Mungu.
68% ya watanzania wamechanjwa chale na waganga wa kienyeji kwa imani za kishirikina, kuna watu wana chale hadi kwenye makalio.
Na kwa sababu watu wengi ni washirikina ndo maana limeibuka kundi kubwa la matapeli linalotuma sms hovyo hovyo kwenye simu za watu ili kuwashawishi wajiunge na ushirikina, matapeli hao wanajua tabia za watanzania ndo maana waliunda hiyo mbinu.
Taifa likimwacha Mungu na kujikita na ushirikina Mungu huliacha hilo Taifa, na mwisho wa Siku ni mateso yasiyoisha.
Ndugu zangu nawasihi Sana turejee kwa Mungu tuiponye nchi yetu na janga la umaskini usioisha.
 
Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,614

Mungu mwenyewe mshirikina pia!
 
My Son drink water

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,233
2,000
Usirudie tena kumbeza Mungu aliye hai aishiye milele, ukirudia kuna jambo baya litakupata kabla ya jan/2018.
Mungu Siyo mwanadamu Kama wewe, Usirudie tena!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom