Wakuu jibu tafadhaliwakuu wataalam wa wanyama pori wanasema kuwa mnyama aina ya jaguar ambaye ni aina ya chui mweusi anayepatikana sana amerika kusini anauwezo wa kukimbia kasi ya ajabu sawa na duma,je hawa jamaa wapo sahihi?
Duma ndo ana kasi zaid.....muulize hata Simba
Ukistaajabu ya mussa............. Hata mi nashangaaWatu wengine bhana sasa amuulizeje Simba?
wakuu wataalam wa wanyama pori wanasema kuwa mnyama aina ya jaguar ambaye ni aina ya chui mweusi anayepatikana sana amerika kusini anauwezo wa kukimbia kasi ya ajabu sawa na duma,je hawa jamaa wapo sahihi?
huyo ni chui kwa kiingereza anaitea leopard
Na huyu ndio Jaguar