spencer
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 3,599
- 3,226
Wana jamvi amani kwenu.
Ninayofuraha kuwataarifu safu mpya ya shirikisho la vyama vya wafanyakazi Tanzania kama ifuatavyo.
Rais: Tumain Nyamhoka~TAGWU
Makamu: Qambos M Sule~CWT
K/Mkuu😀r Yahya Kitambazi~TUGHE
Makamu Katibu: Jones Kyaruzi ~TUICO
Mweka Hazina: James C Kalanje~RAAWU
Hongereni sana wawakilishi wetu kwa kukataa kuwa Daraja.
To do list:
Kwa kuwa wenzenu walichemka mswaada wa habari, naombeni FAO la kujitoa lirudi.
1.Jiulize utasomeshaje wanao kazi ikikoma
2.Utatibiwaje kazi ikikoma
3.Utakula nini kazi ikikoma
4.Huku ukitambua kila mwaka vijana laki nane wanamwagwa mtaani utapata wap kazi haraka haraka.
5.mtambue kuna vijana wengi wanapenda kujiendeleza baada muda flani, sekta binafsi inataka uache kazi ndio ukasome atafanyaje kijana aliyemaliza veta anataka kwenda DIT kusoma FTC na sasa yuko kigoma au karagwe.
Kila la kheri sana, fanyeni kazi