Tofauti na mikoa mingine huku maisha ni nafuu sana
Pia kuna fursa za aina tofauti hasa kilimo uvuvi na mifugo
Gharama za ujenzi ni nafuu.
Na hali ya hewa ni nzuri kupindukia
Nafikiri kustaafia...
Nimesikiliza kwa mshtuko na mshangao mkubwa habari kwamba baadhi ya wanasiasa wa Zanzibar hasa wajumbe wa Baraza La Wawakilishi wanataka upelekwe mswada katika Baraza hilo wa kuongeza muda wa...
Pale ndipo penye makazi ya wafu, watu waliokuwa hai na kuishi juu ya ardhi sasa wameshuka na kupumzika pale ! Ile ni miili tupu lakini tusisahau kuwa roho zao hazichezi mbali hata kama zitaenda...
Miaka kadhaa iliyopita kila kukicha tulisikia akina Mgaya, Rwegasira, Olwochi, Mukoba nawengine wakiipiga biti serikali kutimiza madai ya wafanyakazi vinginevyo watagoma.... Hawakuishia hapo...
Ndiyo nchi yangu, sehemu niwezayo kuiita nyumbani kwa amani...
Sehemu ambayo kuna amani na mibaraka ya utulivu kutoka kwa muumbaji wetu( Mungu wa mbinguni).
Tuitunze nchi yetu...
Kiukweli hii ndio dawa pekee ya kuondoa mgogoro uliopo Congo ya mashariki...! What i mean ni kwamba Congo yote ya mashariki iwe sehemu halali kabisa ya Tanzania na itambulike hivyo kisheria...
Napendekeza na kutanabaisha wenye mamlaka ya kusimamia jiji wachukuwe hatua haraka!!
Wengi wetu,madereva na wenye kumiliki magari tupo hatarini sana.. haswa tunapokuwa ktk barabara na gari lako...
Binafsi huwa nastaajabu sana ninapoona Mwafrika akiongea lugha za Kizungu, iwe Kireno, Kifaransa au Kiingereza!
Swali ambalo hunijia kichwani waliwezaje kutufundisha Kiingereza? Walitumia mbinu...
Kuna watu wengine wameshindwa kulipwa kimakusudi kabisa sababu utaratibu wa kudai umekuwa wakukera mno!mfano mtu anakupigia usiku kukumbusha deni lake na wewe bila hiyana unamwambia kesho yake...
Habari wadau, naomba niende straight bila kupoteza muda.
Hivi pension ile tunayo katwa makazini je wana kata kwenye basic salary au net salary au gross salary. naomba msaada jaamani.
Niko...
SAMAKI WACHANGA NA WAZAZI ZAKAMATWA KATIKA SOKO LA SAMAKI LA KIMATAIFA MWALONI KIRUMBA MWANZA.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi .Abdalla Ulega amekamata samaki aina ya sangara wachanga...
Kama tulivyosikia IMF watanzania wana tatizo la kulipa pindi wanapokopa. Wana jamvi tujadiri tatizo ni nini maana kwa uzoefu hata kati ya mtu na mtu utamaduni wa mtanzania ni kuwa tunapokopeshana...
Hili lieleweke kama vile Majeshi ya Uganda, Kenya &Co. yalivyokuwa huko Somalia pia Majeshi yetu kwenda Kongo siyo kwa faida yetu wala ya watu wa Kongo, bali ni kwa faida ya Mabepari.
Kongo ina...
Ama kweli hi nchi pesa ipo.
Mshahara na posho ya Mbuge kwa mwezi si chini ya 12millioni, bado kiinua mgongo karibu 300millioni, fursa kibao za mikopo. Halafu mtu anaachia Jimbo kwa hoja nyepesi...
Rais Mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete ameipongeza timu ya Zanzibar heroes kufuatia ushindi wake wa 2-1 dhidi ya Uganda katika michuano ya...
SIKIA SAUTI YA MUNGU
Ufunuo wa Yohana 22 : 17 - Na Roho na Bibi-arusi wasema, Njoo! Naye asikiaye na aseme, Njoo! Naye mwenye kiu na aje; na yeye atakaye, na ayatwae maji ya uzima bure.
Bwana...
Baada ya umeme kukatika, nesi huyu aliamua kutumia simu yake ya Tochi, kwa kuing'ata mdomoni ili kutafuta (vein access) mshipa wa damu kwa kitoto kichanga cha siku mbili, ili kipewe dawa na kuokoa...
Serikali inajinasibu kulipa madeni yote ya wastaafu kiasi cha shilingi trillion 1.3. Leo hii katika mkutano wa walimu Dodoma raisi Magufuli amerudia kuwa wamekwisha lipa. Mbona viongozi wa PPF...