Msaada wa jamani naisi tuna nyonywa

Msaada wa jamani naisi tuna nyonywa

AHMARDZ

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2016
Posts
790
Reaction score
679
Habari wadau, naomba niende straight bila kupoteza muda.

Hivi pension ile tunayo katwa makazini je wana kata kwenye basic salary au net salary au gross salary. naomba msaada jaamani.

Niko company fulani mjini hapa nafanya kazi kwa wahindi wao basic salary nilikua nalipwa 150,000.asaivi nalipwa 300,000 basic salary alafu other allowance nalipwa 400,000 so jumla ni 700,000 ila cha ajabu.

P.A.Y.E nakatwa kwenye basic salary je ni sawa?
PPF nakatwa kwenye basic salary so 30,000 na yeye ananiwekea 30,000 je ni sawa?

nashindwa kuelewa je na nyonywa nakama ndio wapi msaada pakuanzia kuna watu tunazaidi ya miaka kumi ila tukipiga hesabu naisi tunaibiwa.

navyo jua mimi tunatakiwa kukatwa kwenye gross salary so 70,000 yangu na muajiri 70,000 jumla 140,000 kwa mwezi ila instead instead wanaweka 60,000 baadala ya 140,000/=

Msaada jamani tafadhali:
 
P.A.YE inakatwa kwenye GROSS not kwenye Basic....hivyo hata ukiwa na allowance ya maji ya kunywa lazima wailambe.
Hifadhi ya Jamii unakatwa kwenye BASIC hivyo kwa kesi yako wapo sawa kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom