Rais Mstaafu Dk.Jakaya Kikwete aipongeza Zanzibar Heroes kwa kutinga fainali michuano ya CECAFA

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
20,605
2,000
Rais Mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete ameipongeza timu ya Zanzibar heroes kufuatia ushindi wake wa 2-1 dhidi ya Uganda katika michuano ya CECAFA2017 na kufakiwa kutinga fainali ya michuano hiyo.

Kwenye ukurasa wake wa Twitter Rais mstaafu ameandika ;

"Nawapongeza Zanzibar Heroes kwa kututoa kimasomaso na kutinga fainali. Nawatakia kila la kheri katika mechi ya fainali waibuke na kombe na watupe raha ambayo watanzania tumeikosa kwa muda mrefu".
 

Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
23,320
2,000
Hapo Znz inasimama Kama Znz tusijipendekeze sie Timu yetu ya Tanzania Bara imekojolewa Mechi zote

Kwny Challenge Hakuna Tanzania kuna Znz na Tanganyika
 

Mkwawe

JF-Expert Member
Jun 10, 2016
1,771
2,000
Kwa chuki ya wazenji juu yetu watanganyika sina hats mzuka kufurahia ushindi wao
Watajijua wenyewe na Sie tupambane na yetu
 

lingula70

JF-Expert Member
Apr 16, 2014
4,066
2,000
Rais Mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete ameipongeza timu ya Zanzibar heroes kufuatia ushindi wake wa 2-1 dhidi ya Uganda katika michuano ya Cecafa 2017 na kufakiwa kutinga fainali ya michuano hiyo.

Kwenye ukurasa wake wa Twitter Rais mstaafu ameandika ;

"Nawapongeza Zanzibar Heroes kwa kututoa kimasomaso na kutinga fainali. Nawatakia kila la kheri katika mechi ya fainali waibuke na kombe na watupe raha ambayo watanzania tumeikosa kwa muda mrefu".
Kaipongeza kupitia media gani
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom