Heroes, unspoken (mashujaa wasiozungumziwa)

Heroes, unspoken (mashujaa wasiozungumziwa)

Joined
Oct 5, 2015
Posts
90
Reaction score
483
Baada ya umeme kukatika, nesi huyu aliamua kutumia simu yake ya Tochi, kwa kuing'ata mdomoni ili kutafuta (vein access) mshipa wa damu kwa kitoto kichanga cha siku mbili, ili kipewe dawa na kuokoa maisha yake.

Kazi ya kutafuta 'vein access' kwa kichanga ni ngumu hata kwa mtu mzoefu anapokuwa kwenye mwanga wa kutosa. Umeme ulikatika kwa zaidi ya nusu saa katika hospitali moja ya jijini Dsm, lakini giza halikuwa kikwazo kwa mama huyu anayekaribia kustaafu. Alijipinda, na kichanga kikapata dawa na kuepuka kifo.

Hawa ndio viongozi wasiozungumzwa, wasioandikwa, wasiopewa sifa! Viongozi wasio na 'Title'. Furaha na Faraja yake ipo katika kutoa huduma, sio katika kupokea.

[HASHTAG]#JahBlessThisMama[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Inspired[/HASHTAG] [HASHTAG]#Undefeatable[/HASHTAG]
9bbc3210d43de8f15cf1b4acf203663d.jpg
 
Baada ya umeme kukatika, nesi huyu aliamua kutumia simu yake ya Tochi, kwa kuing'ata mdomoni ili kutafuta (vein access) mshipa wa damu kwa kitoto kichanga cha siku mbili, ili kipewe dawa na kuokoa maisha yake. Kazi ya kutafuta 'vein access' kwa kichanga ni ngumu hata kwa mtu mzoefu anapokuwa kwenye mwanga wa kutosa. Umeme ulikatika kwa zaidi ya nusu saa katika hospitali moja ya jijini Dsm, lakini giza halikuwa kikwazo kwa mama huyu anayekaribia kustaafu. Alijipinda, na kichanga kikapata dawa na kuepuka kifo.
Hawa ndio viongozi wasiozungumzwa, wasioandikwa, wasiopewa sifa! Viongozi wasio na 'Title'. Furaha na Faraja yake ipo katika kutoa huduma, sio katika kupokea.
[HASHTAG]#JahBlessThisMama[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Inspired[/HASHTAG] [HASHTAG]#Undefeatable[/HASHTAG]
9bbc3210d43de8f15cf1b4acf203663d.jpg
Na wewe kama mtu makini ukaamua kumpiga picha ili ufanyie harakati mihemko ya siasa mitandaoni
 
Back
Top Bottom