Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Kuna watu wengine wameshindwa kulipwa kimakusudi kabisa sababu utaratibu wa kudai umekuwa wakukera mno!mfano mtu anakupigia usiku kukumbusha deni lake na wewe bila hiyana unamwambia kesho yake utamlipa na inapofika hiyo kesho anakupigia Simu saa kumi na moja alfajiri kukudai tena!watu wa nanma hii huwa silipi kabisa bora tugawane na polisi[emoji2] Asubuhi na mapema Sana sio mida ya kudai wakuu wengine wameamka na hasira za mwendo kasi