Salama wandugu ? hasa walimu! naomba kujuzwa kuhusu huyu kiongozi wetu shupavu CWT nasikia mwajiri wake alimtimua , inasemekana alitaka kuanzisha mgomo wa madai yetu ... Leo kwenye magroup ya...
Mapinduzi ya viwanda ni ndoto Bila mapinduzi ya kifikra.
Siasa Na Sera za kisiasa kamwe hazina matokeo mazuri sehemu ambayo fikra hazina utayari.
Serikali iache ulaghai, ituandae kifikra Na iwe...
Sitaandika sana lakini nasikitishwa na waandishi wetu wa habari kutokutoa habari za ukweli na za kupigania uhuru wa habari wa nchi zetu.
Vilevile waandishi wetu hawafanyi research kwenye mambo...
Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) umeanza ukarabati wa mabweni ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) yenye ufa.
Taarifa za kuwepo nyufa hizo zilisambaa kwenye mitandao ya kijamii usiku wa Desemba...
Kama unataka kukuza imani yako ya kuamini , ongeza uwezo wa kumjua Mungu , soma maarifa ya Mungu .
Mtu anaamini kwa kujua Ikiwemo kusikia .... Sasa umekosa kuamini kwa sababu ya kukosa maarifa ya...
Kwa wale wanaotaka kusafiri kwenda moshi au arusha watafute means nyingine..nimetoka ubungo kukata tiketi ya tarehe 22 au 23 nimekosa kabisa..kila ofis utakayoingia bus zimejaa hadi tareh 26...
Dunia hii tunaishi katika effect yaani vyote tunavyoviona ni matokeo .
Ukiwa mjinga utaanza kudeal na Matokeo badala ya kuangalia sababu .
Mtu yeyote aliyezaliwa , amezaliwa kwa sababu ...
Kumekuwa na kawaida ya kutoziona maiti za paka pale wanakufa, ila pia paka amekuwa akihusishwa sana na imani mbalimbali za kishirikina ikiwemo kutumiwa na waganga na wachawi
Ila inapokuja swala...
Wakuu kwa sasa Serengeti lite ndio habari ya mjini, imekuja kipindi muhimu sana ambacho mifuko ya wengi haiko poa. Kidogo inatupunguzia gharama ya kunywa Windhoek na Heineken kwakuwa hii bei yake...
Mnaeza mkawa mmezidiwa sana na idadi ya wagonjwa, lakini isiwe sababu ya kutokea kwa uzembe wa hatari ambao unaweza ukahatarisha maisha ya watu. Kumekuwa na mchezo wa siku nyingi kwenye maabara...
Habarini Wana JamiiForums wenzangu, old school, mid school Na new school.
Dhumuni la Uzi huu ni kukumbushana vitu ambavyo viko nyuma ya chakula.
CHAKULA HUFUNGUA MOYO.
Unamtaka demu mkali...
Hivi Rungwe Ocean Resort inamilikiwa na nani? Why imekufa? Na next to it kuna Marina beach resort, nani pia mmiliki?
Why zipo katika hali ile? zinauzwa? au?
Wakulima wa korosho ktk nchi hii inayowajali na kuwasimamia wanyonge wananyanyasika ktk kupokea malipo ya korosho zao walizouza kiasi ambacho iko wazi mazingira ya dhuluma dhidi yao yanaandaliwa...
Sijui Nyerere alikuwa anawaza nini kuchagua Dodoma, angalau hata angeenda mbele kidogo na kuchagua Singida pale kuna Ziwa Singida, au angeingia my favoutite city in TZ Iringa kuna mto Ruaha, sasa...
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema tatizo la ukosefu wa ajiri nchini limepungua.
Mkurugenzi wa Shughuli za Takwimu, NBS Irineus Ruyoby amesema kwa mujibu wa takwimu walizonazo kwa sasa...
Habari za siku humu jukwaani.
Watu saba wafariki hapo hapo na wengine kujeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Saratoga kugongana uso kwa uso na basi dogo aina ya hiace ktk kijiji cha kabeba mkoani...