Wakuu nilifanya application ya passport pale Kurasini mwezi February mwishoni, na nikaambiwa March 24 nifate passport Wizara ya mambo ya ndani!
Sikwenda hiyo tarehe na nimekuja kwenda Ijumaa...
Kuna taarifa za kusikitisha sana ambazo zimetoka rasmi leo tarehe 17 Aprili 2026, kutoka Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) zikithibitisha kutokea kwa ajali mbaya ya majini iliyohusisha...
Nimeenda gengeni leo kununua bidhaa, nilikuwa sina mahitaji ya hivyo ni kitu kidogo tu cha shilingi mia mbili, nimempa muuzaji mia tano lakini ananiambia hana chenji.
Nikaenda magenge mengine...
Kuna clip inatembea kwenye magroup ya WhatsApp. Anaonekana Said Lugumi akimkabidhi hela Chief Godlove na kumuonyesha garage ya magari ya kisasa ambayo Lugumi anamiliki kama G-Wagon, Bentley etc...
Kwa kipindi cha Wiki 3 sasa Kumekuwa hatupati Huduma ya maji tulipiga simu kwa Dawasa namba ya huduma kwa wateja wanapokea na kusema watatuma mafundi imeishia hapo tukimpigia Meneja amekuwa...
https://youtu.be/V8w-2LzbQSQ?si=EP9MVrdcvS8xs8jJ
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, ameishukuru na kuitaka taasisi ya...
Kama inawezekana kufanyika baraka kwa wengine ikiwemo maneno ya kinywa chako yawe ya kubariki wengine kuliko kuwadharau na kuwakejeli.
UNAHITAJI WATU WA HALI ZOTE KATIKA MAISHA.
Heshimu watu wa...
Wakuu,
Narudia tena watz bado tupo fo fo fo
Hivi karibuni niliamua nikazuru boda nikacheki maana sijawai toka nje ya nchi.
Nikaamua kwene Border ya kenya na Tz.
Nililala Sirari aisee pale ni...
Habari wakuu
Leo imetimia miaka 10 tangu nijiunge rasmi na mtandao huu smart japo miaka miwili nyuma nilikuwa nikisoma habari bila kuwa na akaunti.
Katika kipindi chote sijutii kwa kuufahamu huu...
Ukistaajabu ya musa......!
Mzee ana miaka 102,anatembea bila mkongojo,analima, na kufanya kazi zote ambazo kijana wa alfu mbili anafanya, ana mke na ametoka kujifungua hivi majuzi, kwenye akili...
Bei za kondomu duniani zinatarajiwa kupanda kwa kati ya 20% hadi 30% kutokana na kuvurugika kwa mfumo wa usambazaji (supply chain), kufuatia vita inayoendelea nchini Iran.
Kampuni ya Karex Bhd...
Binafs mambo yamenizidia kuwa magum sana, niseme nimefilisika, nimekubaliana na hali, sina ajira tena, sina pesa tena sijui nianzie wapi, huku nyuma familia inanitegemea, mke na mtoto mmoja...
Mimi nipo mkoa Y, na Kuna mwanamke X ninampenda sana.
Nimefanya sehemu yangu kumuelezea jinsi ninavyompenda na akakubali.
Baada ya hapo nae niliona ameanza kunielewa akawa ananitafuta kila mara...
Ilikua safari nzuri na ya kuvutia sana unforgettable moment.
Nilipanda kama mtalii tulipandika njia ya the Northern circuit 10 day tunashukia mweka gate.
Labda nikupe hints kidogo ya zone za...
Mh. Innocent Bashungwa wewe ni Mtu makini sana na ndiyo maana kila wizara unayopelekwa unafanya vizuri sana. hongera sana, lakini kuna watu wanakuharibia kazi, tarehe 11 February 2024 mtumishi...
Mzuka wana jamvi ?
Unakumbuka hali ya jukwaa la sports na influence ya Simba na Yanga Jf kwa ujumla kabla ya October 29 na kufungiwa ?
Ilikuwa mechi za ligi kuu tu watu wanashindana kuanzisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.