Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Watanzania tuipende nchi yetu, tuweke kando ushabiki na itikadi zetu pembeni kwa ajili ya nchi yetu; huu ndio uzalendo. Wamarekani wanao msemo -'America First ". Rais mmoja wa nchi alipata...
0 Reactions
2 Replies
709 Views
Wadogo zangu na waasa bila kujali itikadi zenu za dini, ni vyema basi mkajifunza kunywa bia mkiwa wadogo, either ni nyumbani, shuleni au vyuoni, popote pale kwenye sherehe zenu agizeni bia...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Startimes sasa hivi wamejirekebisha mno sasa mambo ni safi ispokua lazima ulipie ndo uone channels ila wamebadilika sana kiukweli wapo vizuri ila kwa sasa nataka continental Vipi kwa watumiaji wa...
0 Reactions
80 Replies
12K Views
Natumai Mu wazima wa Afya, Ni Mkurugenzi wa Taasisi ijulikanayo kwa Jina la Jikuze Business Solution Limited, Yenye makao makuu yake Mkoani Morogoro, Mtaa wa sabasaba, Karbu kabsa na Msikiti wa...
0 Reactions
0 Replies
938 Views
Wakuu kuna noah nyeusi inanifatilia nyuma toka saa 6 Nifanyeje mwenzenu maaana naogopa kupimwa mkojo [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Wakati baadhi ya viongozi wa Serikali wakieleza kuwa wanafunzi wanaopata mimba watafikishwa mahakamani, wanaharakati na watetezi wa haki za binadamu wamesema hatua hiyo si suluhisho la kumaliza...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Jana katika Kanisa la Mtakatifu Paulo hapa Sheffield, baba paroko wa parokia yetu ya mtakatifu fransisko wa asisi ametusisitiza waumini kufanya toba ya kweli ili tumpokee mtoto yesu mfalme na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Serikali ilipiga marufuku matumizi ya pombe aina ya viroba vilivyokuwa vinafifisha uelewa wa vijana wengi na uwezo wao wa kutambua lililojema na baya. Pia; vijana hao kutumika kwa maslahi ya...
0 Reactions
3 Replies
718 Views
Nimeamk asubuhi nikakuta huyu mdudu yupo kwenye mawe jirani na mlango.... Nikiwa katika harakati za kutaka kumuua akatokea mwenyeji wa huku nilipo akadai huyo mdudu ni wa baraka nisimuue...
1 Reactions
75 Replies
29K Views
Umewahi kujiuliza kwamba inaweza kuwapo zahanati inayotoa huduma kwa vijiji saba? Tena ikiwa na daktari mmoja? Basi ipo zahanati moja katika kijiji cha Madimba wilayani Mtwara ambayo ina daktari...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika siku za karibuni barabara hii imeonyesha wazi kuwa imezidiwa na magari kiasi cha kusababisha foleni ndefu ya magari. Barabara hii ilikuwa kiungo kizuri kwa watumiaji wanaotokea Ubungo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Tangu nizaliwe ndio naona na kusikia kuwa uko Tabora mjini kuanzia Saa nne askari wapo kufunga bar zote na kumbi za music Kweli sikuu Kama hii watu wanafurahi unawambia wakalale baada ya...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Wanawake Dar walizwa mamilioni na wazungu kupitia Facebook AHADI ya zawadi kubwa ikiwemo fedha na kutekwa kimapenzi kwa njia ya mtandao, kumewaliza mamia ya wanawake wa Jiji la Dar es Salaam...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Za leo wakuu. Kichwa cha habari kama kinavyojieleza... Cheti nilipewa mwaka huu mwezi wa 2 ila kwa usumbufu sana baada ya kujaza fom ilikua mwaka jana mwanzoni. Ila baada ya kukipitia nimekuta...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
AHADI ya zawadi kubwa ikiwemo fedha na kutekwa kimapenzi kwa njia ya mtandao, kumewaliza mamia ya wanawake wa Jiji la Dar es Salaam. Watu hao wameingia katika wimbi la kutapeliwa mamilioni ya...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Kampuni ya nchini Sweden iliyotaka kujenga mtambo mkubwa zaidi Afrika Mashariki wa kufua umeme kwa kutumia upepo huko Malindi, Kenya, kwa gharama ya shilingi za kitanzania 253 billioni...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Sijui ni kweli hili Neno AMBULANCE huandikwa kinyume mbele ya gari la wagonjwa ili dereva wa gari la mbele aweze kulisoma vizuri kupitia kioo cha gari lake. Swahili Times on Twitter
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Members natumaini mu salama ktk wakati huu wa kubadili miaka, Hoja yangu kuu hapa ni namna gani watu hasa madereva wanavyoendesha vyombo vyao barabarani hasa kwa DAR, ikiwemo wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nataka kufahamu ubora wake, ulaji wa mafuta na upatikanaji wa spare zake. Pia ili nipate iliyo bora niandae budget ya shilingi ngapi? Ni hayo tu
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari ya sikukuu wakuu. Kwa wapenda burudani na yale mambo yetu kiwanja kikali sasa ni govornors kinondoni. Aisee Govornors kwa watoto wazuri sio mchezo. Kwa sasa kiwanja kikali na kinachovutia...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Back
Top Bottom