Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nipo kivule leo mnada umekuwa mbaya hata nyanya hazijauzwa kuna jamaa mmoja alikuwa anashindwa kutoa takwimu wingi wa vitunguu
0 Reactions
0 Replies
851 Views
[emoji121] WAKUU, NIMEJARIBU KUTAFAKARI TU, HIVI KUNA UHUSIANO GANI KATI YA MUZIKI WA SINGELI NA WATOTO WA KIUME KUBINUA MAKALIO JUU KAMA NGEDERE?!?! HIVI HAIWEZEKANI KUCHEZA KIVINGINE BILA...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Nimekuwa nasikia baadhi ya watu sijui niwaite apologists au advocates wa chama kile wanasema kwamba, wanaolalamika grisi kupanda bei ni wale ambao ni wakipiga dili. Lakini kwa observation yangu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Siamini mpaka sasa sijapata mualiko hapa mjini, bora ningekuwa kwetu ningeshaalikwa nyumba kadhaa au kuletewa msosi mpaka ghetto, lakini huku kwenu ni balaa, nimefikia kwa jamaa yangu na yeye...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
Salaam waungwana Heri ya krismas na mwaka mpya Nina wazo naamini humu viongozi wa kiserikali hupata muda na kupitia mawazo mbalimbali yanayoletwa humu Mimi nina wazo kama tunataka Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
502 Views
Hivi kuna utaratibu mpya wa Matumizi ya Barabara tajwa.....!!!! Nimekuta Askari wa Usalama Barabarani pale Junction ya Mawasiliano wakikamata magari na kuwatoza faini wakidai kwamba...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Kwa makala nyingi nilizozisoma sioni uwezekano wa kupata suluhu ya kumaliza mgogoro kati ya waparestina na waisrael(wayahudi) .hii inatokana na na asili ya mgogoro na references.zinazotumika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Viongozi wa kijamii katika mji wa Rajasthan nchini India wanasema mtu mmoja ambaye ni muislam ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wanaoamini ng'ombe kuwa mungu wao. Ummar Khan alikua akisafirisha...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Singapore firm to redesign Arusha City Construction works start next year Slums to give way to high rise buildings By Staff WriterSurbana International Consultants (PTE) this week inked a...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nilikuwa nimepata nafasi ya mtoto kwenda Libermann Secondary pale Goba. Kwa wenye uzoefu na hii shule kitabia na malezi ya watoto anisaidie?
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Fikiria hilo, nchi ya Tunisia imefuta Safari zote za Shirika la ndege la Emirates, kosa ni Shirika hilo kudhalilisha Wanawake wa nchi yao, yaani Mwanamke wa Tunisia alizuiwa kupanda ndege hiyo...
14 Reactions
56 Replies
5K Views
Said Selemani, Mkazi wa Kebasa, Halmashauri ya Wilaya ya Mji Tarime, mkoani Mara, anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kulawiti mtoto wa miaka minne na kumsababishia maumivu makali.
0 Reactions
1 Replies
773 Views
CRDB hamjaona siku ya kufanya matengenezo isipokuwa leo sikukuu . Unaenda sehemu unajiaminisha kuwa una pesa unachukua bidhaa na kuhudumiwa kumbe simbanking mfumo hau-operate. Customer service...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Haya jamani Vodacom wamekataa ushushaji huo lakini taarifa ya kutoa maoni hii hapa kwenye link ya tcra. https://www.tcra.go.tz/images/headlines/MkutanoGharamaZaMainiglianoSimu2017.pdf
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Gazeti la Uwazi la Global Publishers ladai... MAOFISA SERIKALINI TISHIO KWA UTAJIRI NCHINI.. WAANIKWA.. Hiki kichwa cha habari kimewapa kizunguzungu raia, hasa ukichukulia mishahara na posho za...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wapendwa! Leo nataka tujuzane sayansi nyepesi ambayo baadhi inaweza kukusaidia na kujitathimini mwenyewe!!! Katika sayansi hii nyepesi nitawajuza sehemu za mwili za nje zinavyoshabihiana na...
3 Reactions
20 Replies
6K Views
Habar wanabodi? Hakika mwaka 2017,kwangu unaelekea kuisha vibaya baada ya siku takribani tano sasa tangu bibi mzaa mama atutoke baada ya kuugua kwa mwaka mmoja na majuma manne! Nikiwa kikazi...
1 Reactions
44 Replies
6K Views
Back
Top Bottom