Barabara ya Sam Nujoma vyema ikapanuliwa

Barabara ya Sam Nujoma vyema ikapanuliwa

kilimbamula

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
1,792
Reaction score
855
Katika siku za karibuni barabara hii imeonyesha wazi kuwa imezidiwa na magari kiasi cha kusababisha foleni ndefu ya magari.

Barabara hii ilikuwa kiungo kizuri kwa watumiaji wanaotokea Ubungo kwenda uelekeo wa Bagamoyo. Lazima nikiri kuwa nami ni mtumiaji mkubwa wa barabara hii. Lakini sasa tunapata adha kubwa ya kukaa foleni zaidi ya saa 2 kati ya Mwenge na Ubungo.

Ni vema sasa barabara hii ikapanuliwa iwe na njia nne kila upande ili kupunguza foleni.
 
Naona mmeanza kumtafuta kakobe sasa baada ya mahubiri ya Christmas
 
Nadhani kuna umuhimu wa kutengeneza feeder road zaidi mfano km barabara za changanyikeni mpk goba zikitengenezwa vzr watu wengi wangepungua kwenda mpk mwenge.
 
Back
Top Bottom